lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
[emoji102]Nnesahau[emoji144] [emoji99]
[emoji102]Nnesahau[emoji144] [emoji99]
Kule masharti mengiNenda love connect utawapata wengi
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173][emoji175] [emoji175] [emoji175]
duh .. ongea taratibu mkuu hapa kuna watu wengi ujue ...nakuona unatumia nguvu nyiiingi kunipondea lakini ndo hivyo mtoto keshanidondokea, nacheka kwa dharau, teh kama dame
Nitakufatutia Faizafoxy nadhani mtamatch[emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mambo yaku gandana mimi siyawezi... Ngoja tu niwe msindikizaji na muangalizi...
Unajua kuiga wewe[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Just relax tuKule masharti mengi
Ndo nini vilee??Nehi
🙄🙄Nitakufatutia Faizafoxy nadhani mtamatch[emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Hahahahaaaaaa... Shekhe Mimi nawatakia mema ...ndo mana nasimamia hii show mpaka nione mwisho... Mulize young
Dedication: Hakunaga by Suma leeUsije mweka kwapani tu maana hamchelewi nyie
Humtaki mama la mama???
Dooh!
[emoji5] [emoji5] [emoji5] Th name umesikia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naingia msituni[emoji378] [emoji378] [emoji378]Just relax tu
Vijembe ruksaNashukuru hizi taratbu nyingine nazifaham nimejarbu kupitia kwa muda nilioingia hapa ndani