shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Anaelewa sana tu ila ubishiTatizo huyo jamaa amekua kama mpinzani
Cc Szczesny
Anaelewa sana tu ila ubishiTatizo huyo jamaa amekua kama mpinzani
Cc Szczesny
HahahAsante sana kwa 10 kubwa
Leo zimechukua 2 hours hivyo zimeshika rekodi ya kuwa 10 kubwa ndefu kuliko zote kuwahi kutokea hapa KF
Weka pichaHahahaha
Wanajulikana
Aione JimenaHahahaha
Wanajulikana

Ripot ya madaktari ilisema ni moyo ndo ulimuuaFIX ZA BITOZ:
Kifo cha aliyewahi kuwa Karibu Mkuu wa Chama Cha Mazoba (CCM) Marehemu Horace Kolimba ni miongoni vya vifo tata zaidi Bongoland...
Hatari Horace Kolimba siku chache kabla ya maahibu alitamka kwamba Chama Cha Majipu kimepoteza mwelekeo...kauli ambayo haikuwapendeza wakubwa wake
Aliitwa kule kwenye Ukumbi maarufu wa Mshamba uitwao Chimwaga kuhojiwa starehe 13/3/1997 ambapo inadaiwa alisekewa sumu kwenye MIC...wakati wa kujieleza ghafla anaanza kujisikia vibaya zen kutema kabisa uhai.....kweli Polifix is dangerous hadi leo ukweli umefichwa zimebaki fix tu
R.I.P Horace KolimbaView attachment 383438View attachment 383439
*********************************
Ngoja akija huku atakuambia kama ni joto ama baridi
Ilikuwa lazima waseme hivyoRipot ya madaktari ilisema ni moyo ndo ulimuua
Mtu kapita hapo njeUmiona nini???![]()
Iringa Kuna baridi sana kwa sasa

Hivi kale kaugonjwa kanawapataga watoto wa kike shule za bweni huenda ni mpaka kwa wanaume? Mana mhh.. Kuna mtu amemisika hapa balaaUnaumwa!!?





Sio kila report ya daktari ipo fairRipot ya madaktari ilisema ni moyo ndo ulimuua
Asante sana. Ilikuwa ya ukweli sana hata hivyoHahah
Nliziansha sku jua
Halafu kuna vyanzo tofauti so inabid ni chunguze sana ndo nilete hapa
La si hvi nsnge eleweka
Sja sema hvo lakin binamuWataenda Piem
Hivi kale kaugonjwa kanawapataga watoto wa kike shule za bweni huenda ni mpaka kwa wanaume? Mana mhh.. Kuna mtu amemisika hapa balaa![]()

Aione Jimena![]()
Haha baelezeeAnaelewa sana tu ila ubishi
Polen kama zlikuwa ndefu bas zlichoshaZa leo zilikua ndefu kiaina ila mwisho wa siku zimebamba kama kawa
MtajeHivi kale kaugonjwa kanawapataga watoto wa kike shule za bweni huenda ni mpaka kwa wanaume? Mana mhh.. Kuna mtu amemisika hapa balaa![]()
