Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 1, Tokyo, Japan (34.000.000)View attachment 378112 watu milioni 34, yaan hapa ndo watu ni shida jiji hili lina mamlaka za kanda maalum 23, mamlaka za manispaa 26, mamlaka za miji 8 na serikali za vijiji 5,
Na hao ndo wababe wetu wa kujaza watu kwenye majiji
1470679525577.jpg
1470679530138.jpg

Babu aliwahi kunipeleka huko
Mnabisha?
..............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom