Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haaaa
Si dhani kama kuzuri sana huko
Sio kuzuri kihiiivyo ila napapenda
Walatino wana raha yake
Ile lugha yao (spanish) nayo ni tamu sana
Pia napenda ule utamaduni wao, vile ukigonbana na bebi wako anakuletea bendi sa nyingine na yeye anavaa yale makofia yao .... Kisha wanakumbia mpaka unasamehe
Unatoka nje yanaisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom