Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 6, Mumbai, India (22.800.000)View attachment 378085 hili ni jiji la pili jwa ukibwa huko India na la kwanza kwa uchumi mzuri
Likiwa na watu karibu milion 23 lime kuwa na maendeleo na starehe za kila namna na kulifanya liwe moja ya majiji maarufu duniani
Picha ya New York City na Mumbai city zinafanana, au nimeshindwa kuzitofautisha
 
Number 7, New York, USA (22.200.000)View attachment 378083
Kama hujui New York sasa utakuwa una mattzo aki
Hata jay z kaimba na alicia keys
"Empire state of mind"
1470676878334.jpg
1470676894998.jpg

Wapelekwe Milembe
..........
 
Number 5, Delhi, India (23.200.000)
1470676715701.jpg
kuna watu zaid ya milion 23.2 hapa na hii ni kama dodoma ya india na hapo ndo ilipo serikali na power strugles za kila namna watu wa Delhi ni mchanganyiko wa karibu kila sehemu ya kutoka India lakin na dunian pia
 
Number 5, Delhi, India (23.200.000) View attachment 378091 kuna watu zaid ya milion 23.2 hapa na hii ni kama dodoma ya india na hapo ndo ilipo serikali na power strugles za kila namna watu wa Delhi ni mchanganyiko wa karibu kila sehemu ya kutoka India lakin na dunian pia
Sasa hao wa delhi ni wengi kama kumbikumbi
 
Number 4, Mexico City, Mexico (23.400.000)
1470676952227.jpg
mwaka 1950 jiji hili likikuwa na watu milion 3 , sasa leo kufikia milion 23.4 hakuna alo jua kwa kipindi hiko, kwa nn linakua mie pia sijui

Lakini jiji hili lina halmashauri za manispaa zipatazo 60, watu takriban milion 10 wanaishi kwenye mamlaka ya manispaa ya Greater Mexico city pekee
 
Number 4, Mexico City, Mexico (23.400.000)View attachment 378098 mwaka 1950 jiji hili likikuwa na watu milion 3 , sasa leo kufikia milion 23.4 hakuna alo jua kwa kipindi hiko, kwa nn linakua mie pia sijui

Lakini jiji hili lina halmashauri za manispaa zipatazo 60, watu takriban milion 10 wanaishi kwenye mamlaka ya manispaa ya Greater Mexico city pekee
Hapa kufika ni lazima
Zile tamthilia ziliniharibu sana
 
Number 4, Mexico City, Mexico (23.400.000)View attachment 378098 mwaka 1950 jiji hili likikuwa na watu milion 3 , sasa leo kufikia milion 23.4 hakuna alo jua kwa kipindi hiko, kwa nn linakua mie pia sijui

Lakini jiji hili lina halmashauri za manispaa zipatazo 60, watu takriban milion 10 wanaishi kwenye mamlaka ya manispaa ya Greater Mexico city pekee
Ni Kati ya miji ambayo napenda kufika
 
Number 5, Delhi, India (23.200.000) View attachment 378091 kuna watu zaid ya milion 23.2 hapa na hii ni kama dodoma ya india na hapo ndo ilipo serikali na power strugles za kila namna watu wa Delhi ni mchanganyiko wa karibu kila sehemu ya kutoka India lakin na dunian pia
1470677576957.jpg
1470677581487.jpg

Kuna vishikwambi matata
...........
 
Number 3, Guangzhou (Canton), China(24.200.000)
1470677284369.jpg
likiwa ba watu milioni 24 jiji hili lili anzishwa miaka takriban 2,200 iliyo pita na ni mji wenye masoko, viwanda na starehe za kila namna pia ni jiji la tatu kwa ukubwa huko China na limekuwa kwa kasi kwa kuwa ni sehem pekee china ambayo wafanya bishara wa kigeni hushauriwa kuwekeza pia haina mikazo sana kwa wahamiaji haramu ambao wengia miaka ya 2000- 2014 wali mwagika kwa kasi zaid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom