shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Korea kaskazini ndio panakuvutia?Wanatumia 6G au?? Maana karibu dunia yote iko 5G
Lakini Korea hakunivutii kabisa sijui kwanini

Korea kaskazini ndio panakuvutia?Wanatumia 6G au?? Maana karibu dunia yote iko 5G
Lakini Korea hakunivutii kabisa sijui kwanini

wasi wasi ndio akili.Wasi wasi wako tu
Asante sana kwa top ten, nilijua no ni itakuwa BeijingThanks nadhan kumbe tunaweza kuwakaribisha watu dsm bado na jiji halija jaa
Ama neneee!!!
Tunahamia Dom bhana.Thanks nadhan kumbe tunaweza kuwakaribisha watu dsm bado na jiji halija jaa
Ama neneee!!!
EeehHawa nao kumbe wako wengiii![]()
Kila la heriJapan imetisha vibaya, ni moja kati ya nchi ambazo ziko kwenye ratiba yangu
Shukrani sana kwa 10 kubwaY'al v bin amazing suportters of this segment thankya and tuendelea ku fanya hvo
Pia natoa pole kwa sweetapple na familia yake kwa kuwa na mgonjwa tuna mwombea apone
Mlikuwa nami Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma aka Field Marshall
Mpaka wakt mwingne asanti sana
Lakini usizamie na mihadarati!Sikuwa najua kuwa watu wanazamia hadi China
Fly overs nimezielewa vizuri
Wapi wewe sio rahisi ki hivyoTunahamia Dom bhana.
Tema mate tuwachape.Nasikia Kimba Sc kashinda 3 na yule mchezaji wao mpya anayeitwa Mifugo kang'aa
![]()
![]()
![]()
...........
HahahahaMi napajua California tu![]()
![]()
Number 2, Seoul, South Korea (24.400.000)View attachment 378108 watu milion 24.4
Likiwa lina wastan wa watu 17,800 kwa kilomuta za mraba ni moja ya jiji lenye mlundikano wa watu zaid duniani, Pia ndio jiji zuri kuliko yoite dunuani.
Inakadiriwa kuwa karibia kika sehem ya korea kuna kitu inacho endeshwa na IT na asilimia 95,ya nyumba za watu wa seoul zina accecss ya wireless broadband
Ni mji ambao mtandao wa internet unashika kwa kasi kuliko mji wowote duniani
Pia airport ya jiji hilo, vyakula , sehem xa starehe na mapumziko
Bila kushahu wasichana bomba(wengi wakiwa wamefanyiwa oparesheni na kutumia dawa za wachina kupendeza) pia ni sehem ambayo watu huparty sana kwa mwendo wa kila siku
hakika hapa pananifaaHahahaPicha ya New York City na Mumbai city zinafanana, au nimeshindwa kuzitofautisha
ThubutuuuuKorea kaskazini ndio panakuvutia?![]()
![]()
![]()
![]()
Ya mumbaiSasa hii picha ni ya Mumbai au NY ??
Not realwasi wasi ndio akili.
Number 2, Seoul, South Korea (24.400.000)View attachment 378108 watu milion 24.4
Likiwa lina wastan wa watu 17,800 kwa kilomuta za mraba ni moja ya jiji lenye mlundikano wa watu zaid duniani, Pia ndio jiji zuri kuliko yoite dunuani.
Inakadiriwa kuwa karibia kika sehem ya korea kuna kitu inacho endeshwa na IT na asilimia 95,ya nyumba za watu wa seoul zina accecss ya wireless broadband
Ni mji ambao mtandao wa internet unashika kwa kasi kuliko mji wowote duniani
Pia airport ya jiji hilo, vyakula , sehem xa starehe na mapumziko
Bila kushahu wasichana bomba(wengi wakiwa wamefanyiwa oparesheni na kutumia dawa za wachina kupendeza) pia ni sehem ambayo watu huparty sana kwa mwendo wa kila siku
Its bado watu wana ish kwa matabaka sanaa hukoVipi swala ubaguzi??
Asante sana kwa top ten, nilijua no 1 ni itakuwa Beijing