Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Number 10, Shanghai, China (19.400.000)
Shanghai ni moja ya majiji makubwa duniani na huko bara Asia likiwa lina watu milioni 19 na uongezekaji wa watu umekuwa mkubwa zaid hivo ina kadiriwa si mida mrefu wata fikia idadi ya watu milioni 20 kwa kuwa bado watu huingia kulikoni wale wanao toka
kweli tusio na wana, tueleke mawe
