Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,625
Ya ghorofa[emoji23]Szczesny usiku umeota unapost top ten, cha ajabu ukatuma no 10 tu, nahisi baada ya hapo uliamka
Ya ghorofa[emoji23]Szczesny usiku umeota unapost top ten, cha ajabu ukatuma no 10 tu, nahisi baada ya hapo uliamka
Riwaya iko hewani sasa.Leta hapa naisubiria kwa ham sanaa
Iko hewani sasa.Nasubiria kwa hamu kubwa
Ntazisikiliza baadaeZipo...waiting for a girl like you, Jukebox hero...etc mi sijui kwanini napenda sana oldies wakati hata kipindi hicho sikuwepo
Hakia nani jimena umepata pacha cc sweetiepieSema tu sasa ufiche kwani kidonda??
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Daaaaah...ntalia mimi sasa hivi na huo wimbo [emoji22][emoji22]
Koh koh
Coz unapenda kubembelezwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Zipo...waiting for a girl like you, Jukebox hero...etc mi sijui kwanini napenda sana oldies wakati hata kipindi hicho sikuwepo
[emoji5] [emoji5] [emoji5]Very gud song
Una upenda pia ee!!?
Tayari nmeshaleta.Shusha mzigo Jonax
Mpe poleAnaendelea vizuri ana itilafu kidogo tu kwenye uti wa mgongo sio hatari sana maana amewahi matibabu.
[emoji15] kweli tusio na wana, tueleke maweHakia nani jimena umepata pacha cc sweetiepie
Sio shuzi ni VUMBIMbona ushuz tena[emoji12]
Yaah kuna pingili moja ya uti wa mgongo inatakiwa iwekwe sawa. Atapona tu[emoji15] Hapo kwenye green[emoji121]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji27] ngoja nibadili mienendo yangu, huenda na miye nkawepo kwenye listSasa kwa pamba hizo huwezi kupata demu
....acha mazereau[emoji57]Sasa kwa pamba hizo huwezi kupata demu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahaha
Kidonda kinafichwa?Sema tu sasa ufiche kwani kidonda??