Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa kuwa nina mtoto bhass demu sitaki tena
1470672322610.jpg
 
Eeeh
Abar yenyu polen na shughuli za kila shughuli za kila siku
Le nilikuwa naskiliza wimbo wa usije mjini wa FA na AY alaf naikawa napata mawazo ya hawa watu wakuu
Halaf na leo nikaenda nje ya jiji huko nmekuta watu wapo tuu na ni wengi

Sasa kumbe jiji lina zid kujaa kiaina
 
Okey wakat tuna sema dar watu wasije kuna jaa kumbe jiji hili lina watu milioni 4
Hakika ni watu wachache sanaa hao kwa kuthobitsha hilo

Leo tuta cheki majiji yenye watu wengi zaid kuliko yoote duniani
Yaaan
10 Most Populated Cities On Earth .
 
Tukutane tena kesho kwa muendelezo wa hii riwaya.

Imeletwa kwa udhamini wa mchawi Mussolin5 kutupia post ya 79k. Maana yy ndo kinara wa kutupia post tu.

Na imeletwa pia kwa udhamini wa Manchester United kutwaa kombe jana na pia Paul Pogba tayari yuko Man U tenaView attachment 378035
Asante
Sasa mapambano yanazidi kupamba moto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom