Iko poa Kaka, sijui Wewe?Family yako iko poa mkuuu!!!
Asante kwa magazetiView attachment 377740View attachment 377741
Kufikia hapo basi naomba nimpishe Mussolin5 aje aendelee kulisongesha jahazi hili.
Kumbuka tu magazeti haya yameletwa kwenu kwa hisani ya Ibracadabra. Niite Jimena Jimenes
Adios
AmenUmsaidie na Bitoz avue samaki wengi
KaribuAsante kwa magazeti
Asante JJ.View attachment 377740View attachment 377741
Kufikia hapo basi naomba nimpishe Mussolin5 aje aendelee kulisongesha jahazi hili.
Kumbuka tu magazeti haya yameletwa kwenu kwa hisani ya Ibracadabra. Niite Jimena Jimenes
Adios
Ni kweli kabisa. Nimeamka salama nikiwa na afya teleNaona umeamka vyema
Karibu sanaAsante JJ.
Ni zamu yangu sasa.