Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 2#

Mwanasiasa au kiongozi akiimudu vyema propaganda na akaitoa kwa kiwango cha hali ya juu na kwa ufundi,
Anaweza kufuatwa na maelfu ya watu kwa kuwaaminisha mambo ya uongo.

Wanaweza kuamini kuwa jehanamu ndio peponi au kuwafanya wayachukulie maisha ya hovyo na ya taabu kuwa ndiyo Paradiso (HITLER NA PALADISO HEWA)

Haya yalitamkwa na dikteta wa zamani wa Ujerumani, Adolph Hitler.
Alizaliwa April 20,1889 na kufariki Dunia kwa kujipiga risasi April 30,1945.

Alikuwa mtawala wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi 1945.
Fashisti Hitler alihusika na mauaji ya kinyama ya Wayahudi karibu milioni tano wakati wa vita ya pili ya Dunia
5m!!!
 
Duuuh ni shdaaa
 
FIX ZA BITOZ:
1/Binadamu ndo mnyama pekee ambaye anaweza kulala chali na kifudifudi

2/Huwezi kukaa siku mbili bila kulala....lazima ufe

3/kumekuwa na ubishi kuhusu size ya kibamia....km dushe lako likisimama linazidiwa na urefu wa peni hicho ni kibamia orijino

4/Mbwa akila chocolate anakufa...kwake ni poison

5/Ziwa Ngozi liliopo Rungwe ni la pili kwa ukubwa(kina) Afrika kwa upande wa CRATER LAKES linahusishwa na ushirikina lakini kitaalamu lina tope jingi hivyo ukiingia kichwakichwa unamezwa!!
*******************
 
FIX ZA BITOZ:
1/Binadamu ndo mnyama pekee ambaye anaweza kulala chali na kifudifudi

2/Huwezi kukaa siku mbili bila kulala....lazima ufe

3/Mumekuwa na ubishi kuhusu size ya kibamia....km dushe lako likisimama linazidiwa na urefu wa peni hicho ni kibamia orijino

4/Mbwa akila chocolate anakufa...kwake ni poison

5/Ziwa Ngozi liliopo Rungwe ni la pili kwa ukubwa(kina) Afrika kwa upande wa CRATER LAKES linahusishwa na ushirikina lakini mitaalamu lina tope jingi hivyo ukiingia kichwakichwa unamezwa!!
*******************
Haaaa
Peni gani ya speedo au zile BIC!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom