Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
MorningMorning Kapuku team.
MorningMorning Kapuku team.
Happy Birthday RobinLeo katika Historia:
1983 - Robin Van Persie anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal, Man Utd pia hucheza timu ya taifa ya Uholanzi.
Katika Ubora wake, alikuwa moto wa kuotea mbali kwa kufumania nyavu.
Asante sana kwa historiaKufikia haposina la ziada, kwa Udhamini mkubwa wa Majonzi ya Hiroshima, tukutane kesho tena.
Bye
SanaaaSi mchezo, ngoma ngumu
USA babyPamoja na madhara yote hayo, Marekani ikaona haitoshi wakaja kuachia bomu kubwa zaidi ya hilo siku tatu baadae katika mji wa Nagasaki na kulipa jina bomu hilo kuwa ni ' Fat man '

hahaha...Sio moshi huo utakaopulizwa pande hizo
Amen.Asante sana kwa historia
Fidel CastroKati ya watawala ninaowakubali sana
Ndo kawaida......hata Leicester City msimu huu watapoteana mapema na vipondo kibao vinawasubiriPasi ya karibu mita 40 toka kwa mpiga pssi bora, Daley Blind.
Uholanzi ya mwisho mwisho hiyo, baada ya hapo wakawa kama Taifa stars, wakashindwa kufuzu Euro2016
Ahsante sana kwa kumbukumbu maridhawa.View attachment 376868View attachment 376869View attachment 376870View attachment 376871View attachment 376872
Kwa heshima ya Dikteta Mussolini
...........
Bado Alexis kumkimbia Prof Wengewenge aende kwingine akafanye mambo ndani ya msimu mmoja tuAhsante sana kwa kumbukumbu maridhawa.
RvP daima atakumbukwa kwa msimu wake mmoja wa mafanikio pale OT.
Sio moshi huo utakaopulizwa pande hizo
why sisi tumewatangulia Jamaika kupata uhuru lakini now wametupita sisi kiuchumi?Post ya 77k nani aliyeitupia?Fidel Castro
Kutangulia sio kufikawhy sisi tumewatangulia Jamaika kupata uhuru lakini now wametupita sisi kiuchumi?
Nauliza, WHY..?
Hawezi kukimbia paleBado Alexis kumkimbia Prof Wengewenge aende kwingine akafanye mambo ndani ya msimu mmoja tu
.............