Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haaaa[emoji28]
Peni gani ya speedo au zile BIC!!?
Yoyote uliyotumia skuli ........
Mbona una presha
1470500981343.jpg
1470501029840.jpg
1470501035305.jpg

Zote zina urefu spesho isipokuwa zile za kizushizushi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
 
FIX ZA BITOZ:
1/Binadamu ndo mnyama pekee ambaye anaweza kulala chali na kifudifudi

2/Huwezi kukaa siku mbili bila kulala....lazima ufe

3/kumekuwa na ubishi kuhusu size ya kibamia....km dushe lako likisimama linazidiwa na urefu wa peni hicho ni kibamia orijino

4/Mbwa akila chocolate anakufa...kwake ni poison

5/Ziwa Ngozi liliopo Rungwe ni la pili kwa ukubwa(kina) Afrika kwa upande wa CRATER LAKES linahusishwa na ushirikina lakini kitaalamu lina tope jingi hivyo ukiingia kichwakichwa unamezwa!!
*******************
Hiyo namba mbili hai-apply kwa wajeda wakiwa depo
 
Back
Top Bottom