Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 1#

Wananiita fisadi. Inashangaza
Mimi si mtu wa kulimbikiza mali kwa kupendelewa.
Pengine upendeleo pekee niliowahi kupata ni kupewa uso huu mzuri unaovutia.

Lakini fisadi? Hapana. Ningekuwa fisadi Mungu asingenipa sura hii nzuri ya kuvutia.
Jina hilo (fisadi) linawafaa zaidi wenye sura mbaya.

Maneno haya yalisemwa na Imelda Marco - mke wa Rais wa zamani wa Phillipines ambaye sasa ni marehemu, Ferdinand Marcos.
Wakati wa u-first lady wake inaaminika Imelda Marcos alikuwa na jozi za viatu zaidi ya 1,000.
Mumewe aliitawala Philippines kuanzia mwaka 1965 hadi 1986 alipokimbilia Hawaii baada ya mapinduzi ya umma
 
1470493118615.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom