Makapuku Forum

Makapuku Forum

1470493229082.jpg
 
NUKUU NO 1#

Wananiita fisadi. Inashangaza
Mimi si mtu wa kulimbikiza mali kwa kupendelewa.
Pengine upendeleo pekee niliowahi kupata ni kupewa uso huu mzuri unaovutia.

Lakini fisadi? Hapana. Ningekuwa fisadi Mungu asingenipa sura hii nzuri ya kuvutia.
Jina hilo (fisadi) linawafaa zaidi wenye sura mbaya.

Maneno haya yalisemwa na Imelda Marco - mke wa Rais wa zamani wa Phillipines ambaye sasa ni marehemu, Ferdinand Marcos.
Wakati wa u-first lady wake inaaminika Imelda Marcos alikuwa na jozi za viatu zaidi ya 1,000.
Mumewe aliitawala Philippines kuanzia mwaka 1965 hadi 1986 alipokimbilia Hawaii baada ya mapinduzi ya umma
Huyu mama ametishaaa
 
NUKUU NO 2#

Mwanasiasa au kiongozi akiimudu vyema propaganda na akaitoa kwa kiwango cha hali ya juu na kwa ufundi,
Anaweza kufuatwa na maelfu ya watu kwa kuwaaminisha mambo ya uongo.

Wanaweza kuamini kuwa jehanamu ndio peponi au kuwafanya wayachukulie maisha ya hovyo na ya taabu kuwa ndiyo Paradiso (HITLER NA PALADISO HEWA)

Haya yalitamkwa na dikteta wa zamani wa Ujerumani, Adolph Hitler.
Alizaliwa April 20,1889 na kufariki Dunia kwa kujipiga risasi April 30,1945.

Alikuwa mtawala wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi 1945.
Fashisti Hitler alihusika na mauaji ya kinyama ya Wayahudi karibu milioni tano wakati wa vita ya pili ya Dunia
 
1470493419471.jpg
1470493430389.jpg

Mafisadi tu
............
 
Wanawake na viatu!!! khaa!!!
 
NUKUU NO 2#

Mwanasiasa au kiongozi akiimudu vyema propaganda na akaitoa kwa kiwango cha hali ya juu na kwa ufundi,
Anaweza kufuatwa na maelfu ya watu kwa kuwaaminisha mambo ya uongo.

Wanaweza kuamini kuwa jehanamu ndio peponi au kuwafanya wayachukulie maisha ya hovyo na ya taabu kuwa ndiyo Paradiso (HITLER NA PALADISO HEWA)

Haya yalitamkwa na dikteta wa zamani wa Ujerumani, Adolph Hitler.
Alizaliwa April 20,1889 na kufariki Dunia kwa kujipiga risasi April 30,1945.

Alikuwa mtawala wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi 1945.
Fashisti Hitler alihusika na mauaji ya kinyama ya Wayahudi karibu milioni tano wakati wa vita ya pili ya Dunia
Aries katika ubora wake
 
1470493678501.jpg
1470493690503.jpg
1470493694969.jpg
1470493699988.jpg

Dikteta uchwara
............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom