shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
inaenda vizuri sanaIko njema sana Mkuu. Wikendi vipi?
inaenda vizuri sanaIko njema sana Mkuu. Wikendi vipi?
Asante kwa leo historiaKufikia haposina la ziada, kwa Udhamini mkubwa wa Majonzi ya Hiroshima, tukutane kesho tena.
Bye
Pamoja sana braza.inaenda vizuri sana
Leo katika Historia:
1983 - Robin Van Persie anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal, Man Utd pia hucheza timu ya taifa ya Uholanzi.
Katika Ubora wake, alikuwa moto wa kuotea mbali kwa kufumania nyavu.
Leo katika Historia:
1985 - Bafetimbi Gomes anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Swansea city.
Anasifika kwa staili ya kushangilia kama Nyani.
Pamoja mkuuAsante kwa leo historia
Leo katika Historia:
1978 - Papa Paul wa VI anafariki Dunia.
Yorke nae kwa michepuko alikuwa vizuri.View attachment 376819View attachment 376820View attachment 376821Dwight Yorke alimpiga kibendi
............
Amen mkuuAsante braza. Ubarikiwe.
Lile kwangu ni goli bora alilowahi kufunga RvP.View attachment 376824View attachment 376825View attachment 376826
Nalikumbuka bao alilolwapiga Spain
..........
Leo katika Historia:
Ni siku ya " Hiroshima Peace Memorial Ceremony "
Ni siku ya kuwakumbuka wale wote waliopoteza maisha kutokana na bomu la atomiki lililopigwa na Marekani katika vita kuu ya pili ya Dunia huko Jijini Hiroshima nchini Japan.
Wamarekani nyokoPamoja na madhara yote hayo, Marekani ikaona haitoshi wakaja kuachia bomu kubwa zaidi ya hilo siku tatu baadae katika mji wa Nagasaki na kulipa jina bomu hilo kuwa ni ' Fat man '
Jamaa ni wanyama.Wamarekani nyoko
![]()
![]()
![]()
................
Alikuwa anasmoke marijuanaKati ya watawala ninaowakubali sana
Km George BestYorke nae kwa michepuko alikuwa vizuri.
Lile kwangu ni goli bora alilowahi kufunga RvP.
Pia kuna goli la ubingwa alilotupa Man Utd vs Aston Villa.
Moja ya goli bora ktk EPL.
Pasi ya karibu mita 40 toka kwa mpiga pssi bora, Daley Blind.View attachment 376847View attachment 376848View attachment 376849View attachment 376850View attachment 376852View attachment 376853View attachment 376854
Pasi swaaf ilipigwa na Blind
............
Sio moshi huo utakaopulizwa pande hizoLeo katika Historia:
1962 - Jamaica yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingerza.