Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Huyo alishagonga mwamba ye abakie kupiga jaramba kwa lizziebettie tuMe somo
Mbwembwe za Licongo zinajulikana
![]()
![]()
![]()
...........
Huyo alishagonga mwamba ye abakie kupiga jaramba kwa lizziebettie tuMe somo
Mbwembwe za Licongo zinajulikana
![]()
![]()
![]()
...........
Kwema sanaKumekucha, Mungu yu pamoja nasi, kwema huko mkuu
Kumbe![]()
hujambo shem?
Man Utd ya tandaleTunasubiri tuwapige man u
Asante kwa magazeti. Sabato njema.View attachment 376778View attachment 376779
Mpaka hapo basi sina budi kuchukua kila kilicho changu na kumpisha Mussolin5 aje kutambaring
Kumbuka tu magazeti hayo yaliwajia kwa udhamini mkubwa kabisa wa kwake werrason na 77k
Muwe na week end njema
Asante. Na iwe njema kwako piaAsante kwa magazeti. Sabato njema.
Ya UingerezaMan Utd ya tandale
Leo katika Historia:
1825 - Bolivia yajipatia Uhuru wake toka kwa Spain.
Leo katika Historia:
1914 - Serbia yatangaza Vita dhidi ya Ujerumani kuelekea Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.
Leo katika Historia:
1945 - Mji wa Hiroshima huko Japan, walipuliwa na bomu la atomic lililojulikana kama " Little Boy " ambalo liliua watu takribani 170,000 hapohapo na wengineo walifariki zaidi baadae kutokana na mionzi ya sumu.
Hii ilikuwa ni mara ya kwanza bomu la atomiki kutumika Duniani katika Vita kuu ya Pili ya Dunia, na lilileta madhara makubwa sana mpaka leo.