Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
Mambo!Sawa mkuu
Mambo!Sawa mkuu
Dea dea papaaApple....sorry Sweetiepie we ni me or ke???[emoji4]
Mkuu Werrason mi sio Apple ni Sweetiepie...mi ni KE[emoji4][emoji5]Apple....sorry Sweetiepie we ni me or ke???[emoji4]
Pouwa niaje Quigley....Mambo!
Hata nami nilitaka kujua asante,Mkuu Werrason mi sio Apple ni Sweetiepie...mi ni KE[emoji4][emoji5]
Mkuu hongera na ulifit sana hata kuwa nahodha maana umejitahidi sana kwa maelezo na ufafanuzi wa hizo meli hapo juu...[emoji4][emoji5]Si kazi rahis kuleta kitu kama hii
Ahsanten kwa kunivumilia na kuchangia na hata kutochangia pia
Nawakubali woote kwa sapot yenu
Nilmo chapia tusameheane macho yana niuma sanaa yaan nalazmishia tuu hapa
Nko poa dadake, nimefurahi kuona ume join family yetu, karibuuuPouwa niaje Quigley....
Adios amigo...[emoji112][emoji4]Bas hadi wakat mwngneeee mlikuwa nami
Szczesny Carrenza de la Casa de la fuma aka Field Marshal
Mpaka kesho
Adiousss
HiiiNzuri mkuu....
Asante kakaBas hadi wakat mwngneeee mlikuwa nami
Szczesny Carrenza de la Casa de la fuma aka Field Marshal
Mpaka kesho
Adiousss
Asante kakaake...[emoji4] !Nko poa dadake, nimefurahi kuona ume join family yetu, karibuuu
Wajiskiaje huku lakini[emoji85]Asante kakaake...[emoji4] !
Yes ni za Norway lakin hufanya kazi sehem za visiwa visiwa hasa BermudaHiyo nayo ni ya huko huko Norwey mkuu au?
Jina lako najaribu kulitamka kimoyomoyo najikuta najing'ata ulimi[emoji32][emoji28] gumu...ooh it's cool to know you the coolest guy[emoji14][emoji3]...na wengine wote kwa kunikaribisha wakuu! [emoji4][emoji4]Hiii
Karibu
naitwa Szecny one of the coolest guys here
Waapi kama napafahamu huko Bermunda...[emoji102] [emoji1] , asante kwa kunielewesha mkuuYes ni za Norway lakin hufanya kazi sehem za visiwa visiwa hasa Bermuda
ThanksMkuu hongera na ulifit sana hata kuwa nahodha maana umejitahidi sana kwa maelezo na ufafanuzi wa hizo meli hapo juu...[emoji4][emoji5]