Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 1, Pioneering Spirit View attachment 376112 ( urefu-mita 382 , uzito- tani 403,332, gharama-1.7 billion $, Crew- watu 571)
Ki ukweli ukiangalia uzito hapo wa hyo meli n balaa na naskia imetengenezwa kwa kina jumong huko South Korea

Ni meli ya mizigo tuu, detail zake zaid sina ila we ukiulizwa meli kubwaa zaid jua ndo hiyo
Sepider hata haipo kwenye top ten
 
Mkuu Werrason mi sio Apple ni Sweetiepie...mi ni KE
1470333108329.jpg

Huyo mcongo atakutongoza
.........
 
Si kazi rahis kuleta kitu kama hii
Ahsanten kwa kunivumilia na kuchangia na hata kutochangia pia

Nawakubali woote kwa sapot yenu

Nilmo chapia tusameheane macho yana niuma sanaa yaan nalazmishia tuu hapa
Poa jembe..nimeona km zinafanana hivyo sijaongeza mapicha
...........
 
Niliwahi kusikia hivi;
Ulaya mteja anaitwa mfalme,
Japani mteja anaitwa mungu
Afrika hasa tz mteja ni shetani.
Kauli hii ya mteja ni shetani nimejaribu kuifanyia utafiti sana.
Mfano unaingia duka la nguo unamkuta dada mrembooo mwenye simu kali na anachati...unajaribu kuchagua nguo, then unaamua kuanza kuuliza bei..lkn unakuta dada anachukua ka dkk 5 kukujibu halafu anaendelea kuchat, ukiuliza zaidi ya x3, anakujibu kwa karaha ..hivi wew ni mteja au unasumbua tu!
Kauli hii inaashiria jinsi muuzaji hajali mteja
Amwona kinyaaa au mdumbufu flani
Tubadilike mteja ni wa muhimu na anakupa jeuri
Ya kwenda msalani
 
Kisa cha kweli mtaani kwangu.
Kuna mzee mmoja alipitia duka flani kama mara mbili na akipitia hupenda kuuliza bei na kuonfoka na muuzaji ni bidada flani hivi.
Majuzi kati alikuja tena kama kawaida, wakati anakaribia dukani kabisa, yule dada muuzaji aliongea kwa sauti but aliongea kilugha....akimwambia shoga yake kuwa huyu mzee anakuwaga msumbufu sana...huuliza tuuuu bei bila kununua, so mimi naondoka wewe umsikilize.
Yule mzee kumbe alikuwa kabila moja na yule dada hivyo aliskia asemavyo
Mdada.
Mzee kusikia hivyo...alimjibu yule dada kilugha, binti udiondoke leo ninanunua...unisamehe mwanangu sikujua kuwa huwa ninakuudhi.
Nilikuwa naulizia ili nije kununua mwanangu.
Yule binti aliona aibu sana na alimwomba msamaha yule baba.
Mpendwa, usimdharau mtu na pia mjali mteja, ukimjibu vyema leo hata kama hajanunua, ipo siku atakuungisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom