Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Asante Jimena!! nimekaribiaKaribu sana
Asante Jimena!! nimekaribiaKaribu sana
Mi sheeda!!Wote tumekutana na nyodo za wakongwe kina Ngedere Ungabure,Igweeee, FaizerFix, Ever Kichumvi n.k
Isipokuwa mvumilivu waweza tukana mtu ukala BAN
![]()
![]()
![]()
...........


Nzuri mkuu....Aah
Sor za jioni wakuu
SweetiepieNzuri mkuu....
Yeees Th Name
Karibu sana. Uko poa lakini?Yeees Th Name
Mi niko niko poa mkuu sijui wewe...Karibu sana. Uko poa lakini?
Niko poa pia.Mi niko niko poa mkuu sijui wewe...
Haina noma tuko pamojaNiko poa pia.
Pamoja sana SweetiepieHaina noma tuko pamoja
Number 10, Norwegian Getaway, Norwegian Breakaway View attachment 376074 (urefu -mita 325.7, uwezo- watu 5500- 6000, uzito-tani 146600, 154400 , gharama- usd milioni 692,)
Ni meli mbili ambazo zilikamilika mwaka 2013 na 2014 hufanya kazi kwa kupokezana siku saba huko Caribean na Bermuda na ukienda Norway sku moja nicheki ni kupa maelekezo uta pandaje cruz hizi
Hiyo nayo ni ya huko huko Norwey mkuu au?Number 9, MS Freedom of the Seas View attachment 376076 (urefu- mita 338.94, uwezo ~ watu 5000 passengers,uzito- tani154407, gharama- usd millioni 800)
Ilitengenezwa na kukamilika mwaka 2004 na kwa kpindi hiko ilikuwa ndo cruz ship kubwa kuliko zote dunian ila miaka ilvo songa waka ipiga chini