Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 9, MS Freedom of the Seas View attachment 376076 (urefu- mita 338.94, uwezo ~ watu 5000 passengers,uzito- tani154407, gharama- usd millioni 800)
Ilitengenezwa na kukamilika mwaka 2004 na kwa kpindi hiko ilikuwa ndo cruz ship kubwa kuliko zote dunian ila miaka ilvo songa waka ipiga chini
1470328723957.jpg
1470328728644.jpg
1470328733438.jpg

Tunatambia MV Liemba
........
 
Number 7, Nimitz Class Carriers
1470328525909.jpg
(urefu- mita 332.9, uzito-tani 100,000, gharama- usd bilioni1 ( bei ya mwaka 1975 hiyo), ndege za kivita 80+, Crew- watu 6000 )
Moja ya ndege bora kabisa za kivita za jeshi la maji la marekani
Hubeba ndege za kivita zaid ya 80, mabom ya kuzamisha meli na mabomu ya kutungulia ndege
 
Number 6, Gerald-Ford Class Carriers
1470330220155.jpg
(urefu- mita 337, uzito-tani 100,000, gharama- usd bilioni 12.8. Ndege za kivita 75+, Crew- watu 4300) hizi naambiwa toka mwaka 1976,ziko kwenye majaribio tuu na sjui zta fanya kazi ipi lakin kila detail ni sawa na ile ya Nimitz Class Carriers nayo iko chini ya jeshi la maji la marekani
 
Number 7, Nimitz Class Carriers View attachment 376081 (urefu- mita 332.9, uzito-tani 100,000, gharama- usd bilioni1 ( bei ya mwaka 1975 hiyo), ndege za kivita 80+, Crew- watu 6000 )
Moja ya ndege bora kabisa za kivita za jeshi la maji la marekani
Hubeba ndege za kivita zaid ya 80, mabom ya kuzamisha meli na mabomu ya kutungulia ndege
1470330532894.jpg
1470330539229.jpg

Watz tunategemea mitumbwi..
..............
 
Number 5, USS Enterprise Class Carrie
1470330557860.jpg
(urefu- mita 342, uzito-tani 94,700, gharama-450 million $ ( bei ya mwaka1960) crew - watu 5000+)
Kwa miaka zaid ya hamsini imekywa ikitumika kwa shughuli za kivita hii hubeba sialaha za kinyukilia na imetumika mara chache sana hata hvo baada ya vita baridi kuisha meli hii imekwisha amriwa iteketezwe kwa kuwa ni hatari kwa usalama wa bina dam na viumbe bahari
Ukitaka tarehe ya kuharibiwa kwake ni tafte kwa muda wako
 
Number 4, RMS Queen Mary 2
1470330871421.jpg
(urefu-mita 345, uzito-tani 148,000+, gharama- 700 million $, abiria- 3800+)
Hii ni kama Titanic na ilitengenezwa mwaka 2003 ili ku i balili meli dada ya RMS Queen Mary ilo tengenezwa mwaka 1969 katika kuhakikisha ina enzi utamaduni wa tangu Titanic, meli hui hufanya safari zake toka
Southampton(England) hadi New York(USA)
 
Aah niliingia jukwaa flani...nikawa naguswa tu na mada flani flani...full kushushuliwa na dem flan hivi...ooh we vipi umekuja kwa kasi wakati umejisajili juzi tu...nikabaki nashangaa tu kwamba kumbe JF kuna watu special ndio wana deserve kuongea au kuchangia...nikajikuta mood yote imekufa...sema naona humu kwa makapuku pa kijanja no Shoboz peleka kwenu!!. One love Guys
Apple....sorry Sweetiepie we ni me or ke???
 
Number 3, MS Quantum of the Seas
1470331221390.jpg
(urefu-mita 347.1, uzito-tani 168,666 , gharama-935 million $, uwezo- watu 6000+)

Jamani na copy na ku paste maelezo yake kama ifuatavyo
"Another Jumbo cruiser manufactured in recent times. It belongs to the quantum class of cruises currently second largest in the world. It was completed in 2014 and sails to Bahamas and nearby Caribbean from Cape Liberty Cruise Port. The number of passengers is double than freedom class."
Lugha za watu hzo sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom