Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
Sema quigley tamka kigli...mpenda totoz cc patience123[emoji85]Hiii
Karibu
naitwa Szecny one of the coolest guys here
Adios amigo...[emoji112][emoji4]
Sema quigley tamka kigli...mpenda totoz cc patience123[emoji85]Hiii
Karibu
naitwa Szecny one of the coolest guys here
Adios amigo...[emoji112][emoji4]
[emoji41]Dea dea papaa
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Mkuu Werrason mi sio Apple ni Sweetiepie...mi ni KE[emoji4][emoji5]
[emoji120] ....pole mkubwaSi kazi rahis kuleta kitu kama hii
Ahsanten kwa kunivumilia na kuchangia na hata kutochangia pia
Nawakubali woote kwa sapot yenu
Nilmo chapia tusameheane macho yana niuma sanaa yaan nalazmishia tuu hapa
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hiii
Karibu
naitwa Szecny one of the coolest guys here
Aibu ya Yokohama hiyo
Tamka ShezniJina lako najaribu kulitamka kimoyomoyo najikuta najing'ata ulimi[emoji32][emoji28] gumu...ooh it's cool to know you the coolest guy[emoji14][emoji3]...na wengine wote kwa kunikaribisha wakuu! [emoji4][emoji4]
Mutoto muzuri Sweetiepie usmusikilize huyo[emoji115]
....kachunguze, huyo dada sio mwenye biashara!!!....either ni mfanyakazi au mdogo/ndugu yake mwenye biashara....Niliwahi kusikia hivi;
Ulaya mteja anaitwa mfalme,
Japani mteja anaitwa mungu
Afrika hasa tz mteja ni shetani.
Kauli hii ya mteja ni shetani nimejaribu kuifanyia utafiti sana.
Mfano unaingia duka la nguo unamkuta dada mrembooo mwenye simu kali na anachati...unajaribu kuchagua nguo, then unaamua kuanza kuuliza bei..lkn unakuta dada anachukua ka dkk 5 kukujibu halafu anaendelea kuchat, ukiuliza zaidi ya x3, anakujibu kwa karaha ..hivi wew ni mteja au unasumbua tu!
Kauli hii inaashiria jinsi muuzaji hajali mteja
Amwona kinyaaa au mdumbufu flani
Tubadilike mteja ni wa muhimu na anakupa jeuri
Ya kwenda msalani
Ajali kaziniAibu ya Yokohama hiyo
LicongoMutoto muzuri Sweetiepie usmusikilize huyo[emoji115]
....aibu nimeona mimi[emoji85]Kisa cha kweli mtaani kwangu.
Kuna mzee mmoja alipitia duka flani kama mara mbili na akipitia hupenda kuuliza bei na kuonfoka na muuzaji ni bidada flani hivi.
Majuzi kati alikuja tena kama kawaida, wakati anakaribia dukani kabisa, yule dada muuzaji aliongea kwa sauti but aliongea kilugha....akimwambia shoga yake kuwa huyu mzee anakuwaga msumbufu sana...huuliza tuuuu bei bila kununua, so mimi naondoka wewe umsikilize.
Yule mzee kumbe alikuwa kabila moja na yule dada hivyo aliskia asemavyo
Mdada.
Mzee kusikia hivyo...alimjibu yule dada kilugha, binti udiondoke leo ninanunua...unisamehe mwanangu sikujua kuwa huwa ninakuudhi.
Nilikuwa naulizia ili nije kununua mwanangu.
Yule binti aliona aibu sana na alimwomba msamaha yule baba.
Mpendwa, usimdharau mtu na pia mjali mteja, ukimjibu vyema leo hata kama hajanunua, ipo siku atakuungisha
[emoji41]Licongo
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
................
I am de richest and successful businessman right here[emoji41]Mkuu Werrason mi sio Apple ni Sweetiepie...mi ni KE[emoji4][emoji5]