Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Unaufahamu vizuri utelezi wa ganda la ndizi? Ndivyo ilivyokuwa
Cc Jimena
Bhass ndo mana haikuwa na ladha
Unaufahamu vizuri utelezi wa ganda la ndizi? Ndivyo ilivyokuwa
Cc Jimena
Unavyopotea hivyo, usahau kabisaMm nasubiria kutupia tu 80k na 100k bhassss
AsanteeHakika nmeiona.
Hongera sanaa best
Maisha yako yote yani hiyo post ya 80k nme-subscribe kabisa tena ikikaribia inapiga alarm kwenye cm yangu, hvyo cwezi kuikosa kamweUnavyopotea hivyo, usahau kabisa
Tahadhari;Asantee
Yetu machoMaisha yako yote yani hiyo post ya 80k nme-subscribe kabisa tena ikikaribia inapiga alarm kwenye cm yangu, hvyo cwezi kuikosa kamwe
Nakupenda sana mpenzi wanguY
Yes baby... Sema nikuskie moyo upate tulia..

Ngoja tuoneMaisha yako yote yani hiyo post ya 80k nme-subscribe kabisa tena ikikaribia inapiga alarm kwenye cm yangu, hvyo cwezi kuikosa kamwe
Mmmh sasa tukutafutie wapi?Number 5, Bhumibol Adulyadej, Thailand View attachment 375548 mfalme wa Thailand ambaye si mzee kuliko wote lakin ni mkuu wa nchi wa muda mrefu kuliko wote yeye ame pata ufalme mwaka 1946, Lèse-majesté ambazo ni sheria za Thailand zna kataza kuwepo na andiko lolote linako husu miaka ya wafalme
Kwa hiyo na mie sita waambia ana miaka mingapi
Ukitaka nitafte kwa muda wako
Mkuu upoHakika nmeiona.
Hongera sanaa best
Number 5, Bhumibol Adulyadej, Thailand View attachment 375548 mfalme wa Thailand ambaye si mzee kuliko wote lakin ni mkuu wa nchi wa muda mrefu kuliko wote yeye ame pata ufalme mwaka 1946, Lèse-majesté ambazo ni sheria za Thailand zna kataza kuwepo na andiko lolote linako husu miaka ya wafalme
Kwa hiyo na mie sita waambia ana miaka mingapi
Ukitaka nitafte kwa muda wako

Tatizo huwa hanyamaziNgoja tuone
Hili jina mweee refu kama treniNumber 4, Abdul Halim of Kedah, Malaysia View attachment 375549 huyu ana miaka 88 na ndiye kiongozi mwenye jina refu kuliko yote dunuani kwani kwa majina yake rasmi ana itwa moniker Almu’tasimu Billahi Muhibbuddin Tuanku Alhaj sir Abdul Halim Mu’adzam Shah Ibni Almarhum Sultan Badlishah.
Ni mfalme lakin wana mtindo wao wa ajabu ajabu mie si uelewi
Kwao mfalme ni kiongozi wa mapambo tuu kwani ma waziri wakuu ndo wana nguvu
Na uzuri ni kwamba hawezi kuipataTatizo huwa hanyamazi