Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
FixNumber 5, Bhumibol Adulyadej, Thailand View attachment 375548 mfalme wa Thailand ambaye si mzee kuliko wote lakin ni mkuu wa nchi wa muda mrefu kuliko wote yeye ame pata ufalme mwaka 1946, Lèse-majesté ambazo ni sheria za Thailand zna kataza kuwepo na andiko lolote linako husu miaka ya wafalme
Kwa hiyo na mie sita waambia ana miaka mingapi
Ukitaka nitafte kwa muda wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......