shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Ni kweli kabisa mkuuTusisahau kumshukuru muumba kwa wema huu
Ni kweli kabisa mkuuTusisahau kumshukuru muumba kwa wema huu
Asanteeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Fanya hivyo basiHizo apooo
[emoji116] [emoji116]
Dah! Hao watoto sijui ni mazereu ama bado wako kwenye ujima? Siamini taifa lililoendelea hivyo bado watoto wao wana huo mtizamo au labda pengine ndo wanaaminishwa hivyo na hao walimu wao... Shwain kabisa hyo mitoto ya japan
Uelewa wao ndio ulipoishiaDah! Hao watoto sijui ni mazereu ama bado wako kwenye ujima? Siamini taifa lililoendelea hivyo bado watoto wao wana huo mtizamo au labda pengine ndo wanaaminishwa hivyo na hao walimu wao... Shwain kabisa hyo mitoto ya japan
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Top 10,zna fuata hapa
[emoji116]
Unazingua sasa [emoji30]Kifuatacho top 10
[emoji116]
EheeeSasa wakuu mna kumbuka nchi yetu kuna kipind tuliambiwa tuchague mgombea urais ambaye ni kijana
Cha kushangaza kijana huyo alikuwa na miaka 55
Hahaha ilikuwa ajabu
Mi nikajua emoj..
MamiiiMi nikajua emoj..
Yes baby... Sema nikuskie moyo upate tulia..Mamiii
Mm nasubiria kutupia tu 80k na 100k bhassssUlikuwepo ila nikafanikiwa kumzidi kete mzee wa 50k