Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Huyu ana lake jamboMmmh sasa tukutafutie wapi?
Huyu ana lake jamboMmmh sasa tukutafutie wapi?
Mi pia wala simjuiNumber 2, Queen Elizabeth II, United Kingdom
View attachment 375556 ana miaka 90,ni malkia toka mwaka 1952
Kama humjui ka kojoe ulale, ana julikana hata na watt wadogo huyu

Hapo asahau, nitatoka mafichoni ghafla nimpikuNa uzuri ni kwamba hawezi kuipata
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisaaHuyu ana lake jambo
Kuna mussolin5, Shululu, Briz, Jimena, Makaveli10, lukesam na Jonax wote tumeahidi kuipata hivyo kaa tayariHapo asahau, nitatoka mafichoni ghafla nimpiku
NotedKuna mussolin5, Shululu, Briz, Jimena, Makaveli10, lukesam na Jonax wote tumeahidi kuipata hivyo kaa tayari
Vijana wanataka kumtoa madarakani kwa maandamanoNumber 1, Robert Mugabe, Zimbabwe View attachment 375557 ana miaka 92 kawa kiongozi kwa zaid ya miaka 35 na hata onana na wapuga kura hadi 2018,
Kiongozi huyu ana julikana kwa quites mbali mbali za kijamii, kisiasa na hata za kuchekesha
Amejizolea umaarufu mkubwa kwa maneno yake na hekma zake hasa kwa vijana wa ki afrika....
Achen utani huyu naye mna mfaham, usinchose nskuchoshe huyu ndo Mugabe huyo huyo unaye mjua, kama humjui ka google
Haha lakin ameshazipiga nyingi sana huyo, wakati mwingine ni sawa tu kutoona ladha![]()
![]()
![]()
![]()
Bhass ndo mana haikuwa na ladha
Na ukipata hizo itabidi tukuachie jukwaa kwa muda mana hapatatosha humuMm nasubiria kutupia tu 80k na 100k bhassss



Hilo jina ni kiboko, ni zaidi ya mwendokasiNumber 4, Abdul Halim of Kedah, Malaysia View attachment 375549 huyu ana miaka 88 na ndiye kiongozi mwenye jina refu kuliko yote dunuani kwani kwa majina yake rasmi ana itwa moniker Almu’tasimu Billahi Muhibbuddin Tuanku Alhaj sir Abdul Halim Mu’adzam Shah Ibni Almarhum Sultan Badlishah.
Ni mfalme lakin wana mtindo wao wa ajabu ajabu mie si uelewi
Kwao mfalme ni kiongozi wa mapambo tuu kwani ma waziri wakuu ndo wana nguvu
Nipo mkuu,adjeee?Mkuu upo
HahahaUnazingua sasa![]()
Yani nitakuja hapa kutamba kama sina akili nzuri vileeNa ukipata hizo itabidi tukuachie jukwaa kwa muda mana hapatatosha humu![]()

Mtu nani?Hahaha
Kuna mtu alikuwa ana nzangua ujue
Ndo nkawa na chelewa
Rankiing Dj Afro Amigo...Mlikuwa nami
Szczesny Carreanza de la Casa de la Fuma, aka Field Marshal
Adious amigooouw
