Nilimpiga tobo 75k Sema haikuwa tamu kama ile yakokweli Missolin5 ni mchawi
Hata hapa KF shida kibao lakini tunasonga tuShida ni kupambana nazo sio kuzikimbia
Jamaa huwa anapoint sanaHuyu hata sikuwa namjua kabla
Mm nikishinda huwa najisifia kweli kweli..Nilimpiga tobo 75k Sema haikuwa tamu kama ile yako
Hata nyuma hatugeuki kabisa, sisi ni mbele kwa mbeleHata hapa KF shida kibao lakini tunasonga tu
![]()
![]()
![]()
..........
Vingongo Forum power ya sodaHata nyuma hatugeuki kabisa, sisi ni mbele kwa mbele
susa kauliwa na majangili
Ntamfatilia kuanzia sasa,Jamaa huwa anapoint sana
Leo ilikuwa Elimu tuNtamfatilia kuanzia sasa,
Nukuu ya leo ilikuwa poa sana
Sawa kabisaShida ni kupambana nazo sio kuzikimbia
Thanks sana mkuu pamojaKwa hisani ya k76 ya mussolin Sina la ziada, tchao
kweli Missolin5 ni mchawi


hapana chezea Musso, huyo ni profesa maji marefu kwenye anga hizoUlikuwepo ila nikafanikiwa kumzidi kete mzee wa 50kMm nikishinda huwa najisifia kweli kweli..
Sisubiri mnipe sifa ninyi.
Kwani hyo yako haikuwa na ushindani au ikikuwa vp?