Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,228
- 39,953
Na kweli mbona siye tumekulia huko Iringa chipsi haikiwa sehem ya maisha yetu....taste ndio inatupoteza!!!....kuna post moja iko jukwaa la picha mtu kapost picha ya ugali wa mtama na nyama ya kuku chukuchuku niliisoma nilicheka sana!!!
Kula vyakula vya aina zote. Sio kuandamisha kundi moja tu au mawili![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Usjali utajua tuu sku moja
Lakin pia nakula mboga mboga matunda na maji
Inatosha sana
Let's go back to our rootsNa kweli mbona siye tumekulia huko Iringa chipsi haikiwa sehem ya maisha yetu
Mfano sja wahi kumuona dingi ana kula chipsi (labda kama alikuwa ana jificha)
Na maisha yalikuwaga poa tuu
Hakuna utafiti wowote ni myth tuKweli nakwambia, achaneni na wajanja waliodanganya wanawake kuwa wakila mayai watazaa watoto wasio na nywele.
Hebu weka wazi utafiti wa kisayansi ukionyesha madhara ya chips.
HahahaKweli nakwambia, achaneni na wajanja waliodanganya wanawake kuwa wakila mayai watazaa watoto wasio na nywele.
Hebu weka wazi utafiti wa kisayansi ukionyesha madhara ya chips.
Chipsi siyo chakula cha kusaidia mwili mamKula vyakula vya aina zote. Sio kuandamisha kundi moja tu au mawili
Le'go!Let's go back to our roots
Nipe ushahidi ulikula jogoo akaacha wika? Sijakataaa nataka ushahidi niwe na confidence kuwashawishi wengineHahaha
Bro huo ni utamaduni wa kwetu uheheni
Wanawake hawakuwa wakila mayai
Ila nakwambia usi endekeze chipsi kwako si nzuri
Chips bongo ni anasa mkuuNa kweli mbona siye tumekulia huko Iringa chipsi haikiwa sehem ya maisha yetu
Mfano sja wahi kumuona dingi ana kula chipsi (labda kama alikuwa ana jificha)
Na maisha yalikuwaga poa tuu
Jimena una point, chips kula mara chache sawa na vyakula vingineKula vyakula vya aina zote. Sio kuandamisha kundi moja tu au mawili
Nimechoka uzushi wa bongoHakuna utafiti wowote ni myth tu
Na wabongo kwa kumeza hapo huwaambii kitu. Wameshakariri
Kwahiyo mara ya mwisho 31/7/2016Nilikuwa nakula ila nimeacha mwezi wa 8 huu sijala chipsi
Bora nile andazi nilale ila si kiepe
Ngoja nikipata muda niingie maktaba, nikuletee uhondo.Hebu wekeni matukio yake ya utata huyo Bush baba
Cc Mussolin5
Marahaba mdogo wangu.Musolin5 shikamoo kaka
Hapo sasa umenielewa mkuu, Bush Jr yeye alikuwa anafanya ubaya wite kwa maelekezo ya Bush Sr.Daddy Bush hakupata muda na visingizio tuu vya kuvamia
Ila wale wakorofi wotee walo kuwa na kid Bush walifanya kazi na Daddy Bush ndo aka mwambia dogo piga kaz na hao
Wa kutoshaSamaki wapo?
Nilikosea kuandika, nipo karibu na chuo.thatha wat did yu min wen yu seid chuoni???
Uko vizuri sana. Hebu agiza kinywaji hapo ulipo mimi nitalipa...Labda makazi yake yamepakana na chuo