briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
View attachment 374781View attachment 374782View attachment 374783
Size yetu Malawi
..................





kweli aiseeView attachment 374781View attachment 374782View attachment 374783
Size yetu Malawi
..................





kweli aiseeZinaenda vizuri, vp pande hizoMorning mishe zinaendaje?
Chips kwa kweli ni janga la jiji
Polen sanaSina la ziada, tukutane tena kesho hapahapa.
Kwa udhamini wa Miaka 10 ya Martin.
Bye...
Thanks tumekusoma hapoView attachment 374773View attachment 374774
Na kufikia hapo basi sina la ziada kutoka katika meza hii ya magazeti iliyowajia kwa udhamini wa yule Rais mzalendo wa Marekani alietawala kwa siku 30 tu
Niite Jimena Jimenes
Muwe na siku njema
Acheni wivu nyie WasukumaChips kwa kweli ni janga la jiji
Inatakiwa zipgwe marufuku
Ukweli chipsAcheni wivu nyie Wasukuma
Endeleeni kula ugali ndondo
![]()
![]()
![]()
![]()
........
ni majangaHahahahaChips kwa kweli ni janga la jiji
Inatakiwa zipgwe marufuku
Ukweli chipsni majanga
Kula kwa ratiba sio kila siku michips yao hapo ndo tatizoHahahaha
Hapana kwa kweli chpsi kwa mwanaume si kitu chema
Wote mko sahihi.. Chipsi ni chakula cha ajali tu, imetokea bahat mbaya, huna jinsi ndio unagonga, ila si msosi wa kupiga daily mchana na jioni.Kula kwa ratiba sio kila siku michips yao hapo ndo tatizo
...........
Mwili wote ule unakula kiepeView attachment 374801
Hakuna kisicho na faida mwilini hata bia ina faida .....tatizo ni kula kupitiliza
Mi hiyo kitu nakula week end tu 7bu sitaki kiribatumbo_(kitambi)
![]()
![]()
![]()
...............
HahahaKula kwa ratiba sio kila siku michips yao hapo ndo tatizo
...........
Anaye tetea chpsi hayuko sahihiWote mko sahihi.. Chipsi ni chakula cha ajali tu, imetokea bahat mbaya, huna jinsi ndio unagonga, ila si msosi wa kupiga daily mchana na jioni.
Huwa huli chips au?Anaye tetea chpsi hayuko sahihi
Acha umbea ww...tofautisha mwili jumba na kitambiMwili wote ule unakula kiepe
Team chipsi yai soseji juisi ya ukwajuHahaha
Una i defend chips kwel kwel
RealWote mko sahihi.. Chipsi ni chakula cha ajali tu, imetokea bahat mbaya, huna jinsi ndio unagonga, ila si msosi wa kupiga daily mchana na jioni.
Mbona umepanic ndugu.Acha umbea ww...tofautisha mwili jumba na kitambi
![]()
![]()
![]()
............
