briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Dah unaweza ukatamani umtie mtu bao la mgongo atiUnakuta simu inaita kabisa



Dah unaweza ukatamani umtie mtu bao la mgongo atiUnakuta simu inaita kabisa



Hapo safiNiko vizuri kabisa, nlikua na homa flan nkahiisi labda ni serious case ila kwenda kuchek hakukuwa na chochote ilikua ni uchovu tu mana kuna kama siku mbili nyuma yake nilioverwork
Poa kaka karibu sanaNimekwisha maliza by kesho ntakuwa nimetuliza akili na mwili sasa
Yaani alikosa wa kumwachi hadi akaamua kuingia na ride ndani ya basi. Haaahaaa.
Unamisika pia hapa jukwaani, mzima lakin?Jamani ninawamiss
HayaJamani ninawamiss
Mshamba sana huyu jamaa, alitakiwa aendeshe Bodaboda yake gari awaachie wengineYaani alikosa wa kumwachi hadi akaamua kuingia na ride ndani ya basi. Haaahaaa.
Kuna mijitu inaboa ndugu, ustaarabu umewapitia kushoto
Daaah na kweli
Pengine alihisi hayo mabasi ni kama pantoniYaani alikosa wa kumwachi hadi akaamua kuingia na ride ndani ya basi. Haaahaaa.






Tena sana. Huwa nashangaa mtu unajua unaenda kanisani halafu mpaka unaingia ndani bado simu ipo onKuna mijitu inaboa ndugu, ustaarabu umewapitia kushoto
Hahaaaa.... Hiiii ndo nchi yetu, tutafanyaje bhasi.Pengine alihisi hayo mabasi ni kama pantoni
![]()

Sisi pia, habari ya usiku?Jamani ninawamiss
Nawe ulipotea sanaHaya
Hili nalo nenoPengine alihisi hayo mabasi ni kama pantoni
![]()
Njema dada, uchovu tu wa kaziSisi pia, habari ya usiku?