Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Habar ya maisha bwana briz CruzNi kwema sana kaka
Fresh tu, mambo niaje shululu
Habar ya maisha bwana briz CruzNi kwema sana kaka
Fresh tu, mambo niaje shululu
hahaha...wiki mbili zijazo burudani inarejea!!Aaah
Mkuu nakukumbuka sana ndugu yangu
Ngoja futbol irud tuwe tuna jidai kwenye zile maeneo
Ulikuwa umesafir mkuu!!?Pamoja sana mkuu
Jambo la kushukuru Mungunjema, tunashukuru imeisha salama!
Yaan i cant wait nsha miss mijadalahahaha...wiki mbili zijazo burudani inarejea!!
Weekend kama hii ni kuangalia kioo tuhahaha...wiki mbili zijazo burudani inarejea!!
Amen!!Jambo la kushukuru Mungu
soon tu itarejea...Yaan i cant wait nsha miss mijadala
Nipo, ila wewe uliadimika sanaUlikuwa umesafir mkuu!!?
Sana mkuu, halafu ukute chama lako ndio linafanya vzrWeekend kama hii ni kuangalia kioo tu
Yah ni vizuri ukiingia sehem ya ibada usiwe na chochote cha kuku-disturb ili uweze concetrateUnafikiri aliwaza hilo. Mimi nikienda church simu inabaki home
Mambo yanakuwa urubudani (kimasai)Sana mkuu, halafu ukute chama lako ndio linafanya vzr
Poa poaPoa kabisa
Wikend iko poa kabisa, vp pande hizo?Weekend inasemaje
Kabisa.... Niliuliza kuwa leo umechelewa au ilikuwa zamu yako kutoa fungu na ombiumeona eeh!!
Sio kidogo mi naona ni shida sanaHahah wabongo tuna shida kidogo
Ha ha haFIX ZA BITOZ IV:
Papai = Mtu mnafiki
Kitwakoro=Mataputapu
Kulaza nzi= kukwepa ugomvi
Kungongota= kutongoza
Pwasha= Mtu anayejisikia/mwenye nyodo
Nasikia Ngedere ndo Pwasha maarufu wa Jf halafu anajifanya bingwa wa kungongota vishikwambi na vikudwi akilewa Kitwakoro
![]()
![]()
![]()
![]()
................
Ni kweli kabisa. Ila kuna ni hovyo sanaYah ni vizuri ukiingia sehem ya ibada usiwe na chochote cha kuku-disturb ili uweze concetrate
Iko njema kabisaWikend iko poa kabisa, vp pande hizo?
Mi sijambo. Naendelea vizuri kabisaMambo good
Wewe hujambo na wendeleaj!!?