briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Iko poa kabisa, hujamaliza bado vacation?Habar ya maisha bwana briz Cruz
Iko poa kabisa, hujamaliza bado vacation?Habar ya maisha bwana briz Cruz
Hongera sana kwa hiloUnafikiri aliwaza hilo. Mimi nikienda church simu inabaki home
akipigwa fine lawama kibaoSio kidogo mi naona ni shida sana
Asante sana dadaHongera sana kwa hilo
Ila sio rahisi kihivyoYah ni vizuri ukiingia sehem ya ibada usiwe na chochote cha kuku-disturb ili uweze concetrate
Hivi umeshapona kabisa au bado unajikongoja?Wikend iko poa kabisa, vp pande hizo?
Hao sio sehemu za ibada tu, wapo kila mahaliNi kweli kabisa. Ila kuna ni hovyo sana
Analaumu serikaliakipigwa fine lawama kibao
Kwanin?Ila sio rahisi kihivyo
Unakuta simu inaita kabisaHao sio sehemu za ibada tu, wapo kila mahali
Tena kwa nguvu zoteAnalaumu serikali
Mefurahi ku skia hvoMi sijambo. Naendelea vizuri kabisa
Wawekege silenceUnakuta simu inaita kabisa
Iko poa kabisa, hujamaliza bado vacation?
Mi pia nimefurahi kukuonaMefurahi ku skia hvo
AsantiMi pia nimefurahi kukuona
Niko vizuri kabisa, nlikua na homa flan nkahiisi labda ni serious case ila kwenda kuchek hakukuwa na chochote ilikua ni uchovu tu mana kuna kama siku mbili nyuma yake nilioverworkHivi umeshapona kabisa au bado unajikongoja?
Wengine hawajali hiloWawekege silence
WasumbufuWengine hawajali hilo