Waache niwajibu wanachokitaka...thread wameifufua wenyewe coz "inawauma"Kwani wanatumia sabuni ya aina gani?
Maana cyo kwa mapovu hayoo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ilifutwaga ile "JF km grup la WhatsApp"Hii ipo lakini, waliyofuta ni ipi?
Ndio ile nimeshaikumbukaIlifutwaga ile "JF km grup la WhatsApp"
..........
Sijajua bado unachokiuliza, umekosea njiaSepetu ndio nini.?
[emoji86] [emoji86] [emoji86] Kweli teknolojia imetokea mbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti unawahi kanisani mapema mpaka mama yako anawaambia majirani umeokoka, kumbe unawahi ukutani kwenye soketi ili uchaji simu...... God is watching you [emoji55]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hili sasa guta[emoji134]
Yani Inafika Kipindi Manchester United inaitwaMkuu unajua kupotea sana
View attachment 369380
Ni vizuri muwafariji wafungwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Umebadili id baba mkweMkwe
Dah hii nayo kali hahahhah, sasa huko anapotoka si kuna soket pia?Eti unawahi kanisani mapema mpaka mama yako anawaambia majirani umeokoka, kumbe unawahi ukutani kwenye soketi ili uchaji simu...... God is watching you [emoji55]
Labda ana safari ataunganisha juu kwa juuDah hii nayo kali hahahhah, sasa huko anapotoka si kuna soket pia?