Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Morning broNi kweli haya ni mapicha picha zingine zinahitaji tahadhari kabla mtu hajaziangalia...Kwema lakin mkuu?
Morning broNi kweli haya ni mapicha picha zingine zinahitaji tahadhari kabla mtu hajaziangalia...Kwema lakin mkuu?
Can't waitHabari zenu Kapuku wenzangu?
hivi punde nitashusha episode 10 za ile riwaya yetu pendwa ya ANTI EZEKIEL kama kufidia cku nilipokuwa sipo active hapa jukwaani
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Morning to you too my one and only Sisy..Morning bro
Mkuu sina sababu ya kudanganya mtu makini kama wew, hiyo ni voda...labda raia awe amewahi...pia ikitumika itaonyenyesha namba za mwisho za aliyetumiaAhsante kwa kunidanganya!!
Mi niko sawa sanaaa...Morning to you too my one and only Sisy..
Sikuhizi mamluki wengi, labda hii mambo iwe inafanyika PM tuMkuu sina sababu ya kudanganya mtu makini kama wew, hiyo ni voda...labda raia awe amewahi...pia ikitumika itaonyenyesha namba za mwisho za aliyetumia
Ikitokea tena nitatupi pmZawadi kama hii ilifaa PM kisha hapa uje mrejesho
Nashukuru kusikia upo poa sana my dada...Have a beautiful friday..Mi niko sawa sanaaa...
T G I F
Manuu unaadimika sanaMorning to you too my one and only Sisy..
Wanatupenda but naogopa kukiri, wanapenda jukwaa letu wanashindwa waanze je kujiunga. Aibu ikiisha watajiletaSikuhizi mamluki wengi, labda hii mambo iwe inafanyika PM tu
Nipo mkuu wangu....Mchakamchaka tu unafanya tuadimike kidogoo...Mambo yanaendaje pande hiyo?Manuu unaadimika sana
Mkuu nakusabahi asubuhi hii...Wanatupenda but naogopa kukiri, wanapenda jukwaa letu wanashindwa waanze je kujiunga. Aibu ikiisha watajileta
Hapo safiIkitokea tena nitatupi pm
Asante nawe piaNashukuru kusikia upo poa sana my dada...Have a beautiful friday..
Wanatukubali kinyaamaWanatupenda but naogopa kukiri, wanapenda jukwaa letu wanashindwa waanze je kujiunga. Aibu ikiisha watajileta
Usilie aisee maana
Hujambo bibieMorning
Hahahahaaa!Usilie aisee maana
Buheri wa afya..... Sijui weweHujambo bibie