briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Tucheke wote mkuu, amekukumbusha nin hapo![]()
![]()
Ati kinyama!!!

Tucheke wote mkuu, amekukumbusha nin hapo![]()
![]()
Ati kinyama!!!

Niko poa, ni mchakamchaka tuPamoja sana mkuu...Niaje pande hiyo?
Jana afya iliyumba kidogo ila leo am glad nimeamka buheri wa afyaAmeen mtu wa Mungu...U hali gani leo?
HabariShemeji nakusalimia..
Nakuombea afya izidi kutengemaa zaidi na zaidi mkuu..Pamoja sana..Jana afya iliyumba kidogo ila leo am glad nimeamka buheri wa afya
Aksante, ubarikiwe sana mkuuNakuombea afya izidi kutengemaa zaidi na zaidi mkuu..Pamoja sana..
Habari yangu ni nzuri sana shemeji yangu..Vp hali yako wewe...Habari
Duh! Na hapo ni mwanasayansi sijui angekua amesoma na uchumi ingekuaje?
Mie niko salamaHabari yangu ni nzuri sana shemeji yangu..Vp hali yako wewe...
Amenifurahisha...jimena anasema wale wa kuleee...wanatukubali KINYAMATucheke wote mkuu, amekukumbusha nin hapo![]()
Huyu hata mia tano hukaachii..Duh! Na hapo ni mwanasayansi sijui angekua amesoma na uchumi ingekuaje?
Nakuona unang'aa kama kawaida yakoMie niko salama
Hahahaaa! AsanteNakuona unang'aa kama kawaida yako
Mambo vp shemHahahaaa! Asante
nyamatala26@nyamata28
Endelea kidogo labda utaeleweka
hahaha...sio yeye!!Nilishtuka..... Nikadhani John Dillinger Matlow
Amekula chumvi!!Kumbe ni mzee hivi??
Happy Birthday Keith
Aliwahi kuwasha moto kwa kutumia dola kama kuniNamkubali sana huyu mlatino, hasimu wa Griselda