makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Aah.. Mie alhamdulillah namshukuru allah mwingi wa rehma.Buheri wa afya..... Sijui wewe
Aah.. Mie alhamdulillah namshukuru allah mwingi wa rehma.Buheri wa afya..... Sijui wewe
Yanaenda vizuri kabisaNipo mkuu wangu....Mchakamchaka tu unafanya tuadimike kidogoo...Mambo yanaendaje pande hiyo?
Tuko pamoja sana kabisa mkuu wangu...Yanaenda vizuri kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ati kinyama!!!Wanatukubali kinyaama
Nakusalimu mkuu wanguTuko pamoja sana kabisa mkuu wangu...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kila la kheriZamu ya Th Name zamu yako itafika kesho usikonde baharia wangu
Pamoja sana mkuu...Niaje pande hiyo?Nakusalimu mkuu wangu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kila la kheri
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu nafurahi kuwaona...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Shemeji nakusalimia..[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Umechapia hapo katikati mkuu좋은 아침 kapukuz
Zinapatikana wap hizi? Nazihitaji kwa matumizi binafsi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
U hali gani mkuu..?Nawasalimu wote kwa jina la Muumba wa hii dunia
Ameen mtu wa Mungu...U hali gani leo?Nawasalimu wote kwa jina la Muumba wa hii dunia
Namshukuru Mungu hali ni njema, vp pande hizo?U hali gani mkuu..?