BangiNyeusi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 490
- 593
Haswaa kulaliwa na mtoto mzuri japo jibu lako linaukakasi usiku mwema....Wamekulalia
Haswaa kulaliwa na mtoto mzuri japo jibu lako linaukakasi usiku mwema....Wamekulalia
Hahahahaaa, ukilaliwa inamaanisha unashughulishwa hadi....Haswaa kulaliwa na mtoto mzuri japo jibu lako linaukakasi usiku mwema....
Anakupotezea mudaMjibu ******** sawa na mzigo wa upumbavu wake
Anakupotezea muda
ACHANA NAE
"Ukishindana na ******** huwezi kumshinda"
...........
Kweli, nimemtemaaaHongeraNimepata mimi![]()
![]()
![]()
Hehehehehe asante.Njema, hongera na uzi ulee
0714..... Tsh 1000/=Hongera
Zote umepata wewe? Maana nimeona namba mbili tofauti
Sasa tuambie ni mtandao gani na zilikuwa za kiasi gani?
Unamajibu makavuHahahahaaa, ukilaliwa inamaanisha unashughulishwa hadi....

Safi kabisa.Poa mkuu,habari ya siku nyingi.
Nawamisi sana sema tu mishe zimekuwa nyingi mjini.
Yaaani wananikera kwa kuunganisha nyuzi, nami nilianzisha uzi, ulipofikia posts 89 wakaunganisha, niliudhika balaaaHehehehehe asante.
Kesho nikiamka sichelewi kukuta wameuunganisha
Tufanye imetoshaUnamajibu makavu![]()
![]()
Hata mi nachukiaga sanaYaaani wananikera kwa kuunganisha nyuzi, nami nilianzisha uzi, ulipofikia posts 89 wakaunganisha, niliudhika balaaa
Pamoja sana0714..... Tsh 1000/=
Hahaa.. Ndio kinachofata, maana bhana mussolin ananifuruga, analeta mfurugogood idea, chek na mods wanaweza wakakufanyia maarifa
Safari hii hatafua dafuHahaa.. Ndio kinachofata, maana bhana mussolin ananifuruga, analeta mfurugo
In senga voice
We muache tu, niko na mipango madhubuti zaid ya el cholo na atletico madrid yakeSafari hii hatafua dafu
Mi mipango yangu ni zaidi ya CR7 hivyo kaa chonjoWe muache tu, niko na mipango madhubuti zaid ya el cholo na atletico madrid yake
Ha ha haHahaa.. Ndio kinachofata, maana bhana mussolin ananifuruga, analeta mfurugo
In senga voice
Kamwe sianzishi thread.....naboresha tu za zamaniWe muache tu, niko na mipango madhubuti zaid ya el cholo na atletico madrid yake
Hahaa... Nadhan unamjua vizur captain gabi kwa kukichafua, na juanfran kule kuliaMi mipango yangu ni zaidi ya CR7 hivyo kaa chonjo