Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
[emoji120]Sina la ziada, nukuu za leo zimeletwa kwenu kwa hisani ya mzee wa tetesi za usajiri huku majuu
[emoji120]Sina la ziada, nukuu za leo zimeletwa kwenu kwa hisani ya mzee wa tetesi za usajiri huku majuu
Niko tayari..Jamani msikose kupita hapa [emoji116] [emoji116] napo muweke neno
Wakenya huu unyanyasaji utaisha lini??
Nzuri, za kushindaHabarini family
Njema mkuuNzuri, za kushinda
Naomba msaada kwa anayejua hapoMechi nyingi huwa naziangalia kupitia simu kwa application ya Mobdro. Msaada nawezaje kuangalia kwa kutumia computer/laptop
Asante sanaNiko tayari..
Mi sifahamu mkuuNaomba msaada kwa anayejua hapo
Hivi ulisema we tayari nini?Njema mkuu
Salama habari ya kutwa nzima ya leo?Habarini family
Ngoja tusubiri mrejeshoMrejesho kwa jimena pia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa hisani ya JIMENA
OKMi sifahamu mkuu
Nzuri kijana, upo?Habari ya jioni wakuu
Poa, mambo vp?Habari ya jioni wakuu
Mwosha huoshwa, barikiwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asante kwa heshima hii kubwa kabisa