Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Hapo alikuwa anaongelea post ya 100kKamwe sianzishi thread.....naboresha tu za zamani
Labda iwepo 7bu ya msingi mfn kutetea makapuku n.k
Siwezi fanywa bwege
FULL STOP
..................
Hapo alikuwa anaongelea post ya 100kKamwe sianzishi thread.....naboresha tu za zamani
Labda iwepo 7bu ya msingi mfn kutetea makapuku n.k
Siwezi fanywa bwege
FULL STOP
..................
Kijana umeadimika kama kakakuonaHabari ya jioni wakuu
Nilikulenga ww & Quigley nimekosea quoteHapo alikuwa anaongelea post ya 100k
Sasa tuwe wavumilivu tuHahaa... Nadhan unamjua vizur captain gabi kwa kukichafua, na juanfran kule kulia
HahahahahahaNilikulenga ww nimekosea quote
Visa vimezidi siku hizi
*kuunganisha thread
*kudelete thread
*kuhamisha thread
.........
Nipo mkuu.Kijana umeadimika kama kakakuona
Kamwe sianzishi thread.....naboresha tu za zamani
Labda iwepo 7bu ya msingi mfn kutetea makapuku n.k
Siwezi fanywa bwege
FULL STOP
..................
Wanaudhi.......Hahahahahaha
Mi ntabanana nao mwanzo mwisho,
Pia kuna majukwaa sio sana kuunganisha thread
Mi nlijua ni sababu ya kuvuta jikoNipo mkuu.
Mishe zimekuwa nyingi sana



Ndio hivyo, tunasapotiana wenyewe kwa wenyeweWanaudhi.......
Halafu siku hizi kuna gap sasa wakongwe wanakaushia za makapuku na sisi tunakaushia zao so KAZI IPO
Mfano Jukwaa la fashion huwezi kuwaona kwenye thread zangu japo nimeandika vitu vikali
![]()
![]()
![]()
![]()
.............
Sina hakika sana na kuoa ila nahisi kavuta mzigo getoKumbe kaoa![]()
Mbona hatukupewa kadi??





Na mimi ndio najiulizaKumbe kaoa![]()
Mbona hatukupewa kadi??