Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sasa vocha kapata nani mbona hakuna anaeleta mrejeshoMwosha huoshwa, barikiwa

Sasa vocha kapata nani mbona hakuna anaeleta mrejeshoMwosha huoshwa, barikiwa

Nimeweka saini, hongeraaaHivi ulisema we tayari nini?
Mbona sijaona ukiweka neno hapa???
Wakenya huu unyanyasaji utaisha lini??
Njema, hongera na uzi uleeSalama habari ya kutwa nzima ya leo?
Njema mkuuHabari ya jioni wakuu
Labda hawajui ni mtandao gani kwa ufunguo...ni T.g.Sasa vocha kapata nani mbona hakuna anaeleta mrejesho![]()
Poa mkuu,habari ya siku nyingi.Poa, mambo vp?
Mimi niko poa kabisa mkuu.Nzuri kijana, upo?
Poa Mkuu.Njema mkuu
Hongera...zote!Nimepata mimi![]()
![]()
![]()
Niko poa but ubize sanaPoa Mkuu.
Natumai uko poa kabisa
Hahahaha.Hongera...zote!
Poa brotherNiko poa but ubize sana
Tupo mkuu tunajenga nchiMimi niko poa kabisa mkuu.
Hofu kwako.
Poa mkuu,hakuna shida.Tupo mkuu tunajenga nchi
WamekulaliaMakapuku mmelala? Au mmelaliana
Wamekulalia
Aisee.....Wamekulalia
Mjibu mpumbavu sawa na mzigo wa upumbavu wake