Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,231
- 68,262
Urafiki wao wa mashaka.Hawa hawatakuwa na urafiki wa ukweli urafiki wao ni wa kinafiki tu
Urafiki wao wa mashaka.Hawa hawatakuwa na urafiki wa ukweli urafiki wao ni wa kinafiki tu
Senkyu fo niupepa Xime.View attachment 367909View attachment 367911View attachment 367912
Mpaka hapo basi sina la ziada, asante sana QUIGLEY kwa udhamini mkubwa kabisa
Ila leo ntatoa mbinu mpya ili kukiwa na ofa mamluki wasijue kinachoendelea na ofa iwanufaishe Makapuku tu
Hiyo picha ya maiti inatisha sana Bitoz mi nashauri picha za sura ya mwisho usiweke[/QUOTE]
Basi nao ni watataKuna movie moja ya kizamani wanadai ni true story jamaa mmoja ali-invent ile 'blink eye' motion ya wiper za gari, ford waliiba idea yake na kuwa wa kwanza kuiweka kwenye magari yao
Bora wangem-kill tu!Leo katika Historia:
1944 - Adolf Hitler ananusurika kuuwawa katika jaribio lilioitwa " Operation Valkyrie "
Si Umeona nilivyousukuma uzi peke yangu ili nitupie! I wish ingekuwa 100k![]()











Hongera sana, maana sio kwa kuvizia kule
Jana usiku wakati nalala niliona kama ni lukesam kumbe usingizi tu ulinidanganya

Why walimuua?Leo katika Historia:
1951 - Mfalme Abdulla wa Kwanza wa Jordan auwawa na Wapalestina baada ya kuhudhuria ibada ya Ijumaa huko Jerusalem.
Hao nao ni tishioIla Afrikanayo ilikuwa na wapiga gitaa maarufu kama Daly Kimoko na Diblo Dibala
Leo katika Historia:
1810 - Ni siku ya Uhuru wa Colombia.
Ilipata uhuru wake toka kwa Spain.
1810!!! Huku tulikuwa tunavaa ngozi!!!
OkHa ha ha ha ha ha
Hatua ya kwanza usiweke ile namna ya kuingiza, pale utafanya kila mtu ajue kuwa ni vocha pia usiseme kama ni tigo au voda kwenye post ya namba za kuingiza,
Iwe namba tupu tu ili kwa mgeni asitambue kwa urahisi
Nikipata mbinu mpya ntakwambia bado naendelea kufikiria
ok.Asante sana Mussolin5 kwa historia
Am sorryMi niko poa kabisa, jana ndo itakua mwisho kudandia sandakalawe yetu ya vocha tutakuja na strategy mpya ya kuwazuia mamluki kuzinasa![]()
![]()
Cc QUIGLEY & Jimena
Jamaa alikuwa mjanja sana alipandikiza watu wa usalama kila sehemuBora wangem-kill tu!
Tumechelewa sana Papaa na mbaya zaidi baada ya miaka 50 ya uhuru bado tunatambaa kimaendeleo1810!!! Huku tulikuwa tunavaa ngozi!!!
Kujichanganya kwake na Waisrael kulihitimisha maisha yake.Why walimuua?
Asante sana hapa sasa nimepata pichaKifo chake ni moja ya vifo tata vilivyowahi kutokea Duniani.
Kuna wanaoamini aliuwawa kwa sumu kuna wanaoamini alikufa kifo cha kawaida.
Inasemekana alitumia mara kwa mara vidonge vya kupunguza maumivu na ndio ambavyo vilimletea Madhara.
Alikufa akiwa usingizini akijiandaa kushoot movie yake ya Game of Death.
Mwanae Brandon Lee alipojaribu kwenda Hongkong kuchunguza kifo cha baba yake aliporudi Marekani akauwawa kabla hajatoa ripoti yake ya uchunguzi.
Aliuwawa kwa kupigwa risasi wakati wanashoot movie yake ya " The crow "