Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Amentuombe Uhai na uzima.
Amentuombe Uhai na uzima.
hahahah....![]()
![]()
![]()
huyo weka mbali na watoto!
Idea za Makapuku![]()
![]()
![]()









Nawaombea mpate dharura kama yangu kwenye 70kHahaha...Mzee wa 100k nisingecheza mbali.
Bado tunajikongoja...Tumechelewa sana Papaa na mbaya zaidi baada ya miaka 50 ya uhuru bado tunatambaa kimaendeleo
Ndio
U mean wakongwe wanaiba idea za makapuku ndo wanatokea?
Imani ndo kila kitu Bro.
Sahau hiyo ndoto yako ya mchana pale kwenye 100k
Dua la kuku...Nawaombea mpate dharura kama yangu kwenye 70k
Nawaombea mpate dharura kama yangu kwenye 70k











Ni utumbuaji tu!!Aiseee
Nitajiandaa kwa simu, ipad na laptop.Yaaaani natamani siku hiyo ikifika kwake kuwe na tatizo la Network au application isifunguke![]()
![]()
Cc Mussolin5
Very true!Imani ndo kila kitu Bro.
Ubinafsi ndio unatumaliza! Najiuliza hivi tungependa nchi yetu kama wapalestina wanavyoipenda nchi yao tungekuwa wapi???Tumechelewa sana Papaa na mbaya zaidi baada ya miaka 50 ya uhuru bado tunatambaa kimaendeleo
Sijui tutafika lini??Bado tunajikongoja...
Oh! ThanksKujichanganya kwake na Waisrael kulihitimisha maisha yake.