Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
KabisaHa ha ha ha yule jamaa ilikua ukimkosa inabidi ujiue mwenyewe mapema maana huwa hafanyi ajizi
KabisaHa ha ha ha yule jamaa ilikua ukimkosa inabidi ujiue mwenyewe mapema maana huwa hafanyi ajizi
Hata mi sitaki kuikosaHahaha...Mzee wa 100k nisingecheza mbali.
Tunaita copy n paste!!
Kumbe nao wanapenda kitonga
Haya makampuni makubwa yana siri nyingi, wameiba sana idea za watuBasi nao ni watata
Tulikuwa bado tupo zama za mawe za kati1810!!! Huku tulikuwa tunavaa ngozi!!!
KabisaUrafiki wao wa mashaka.
Karibu......Senkyu fo niupepa Xime.
Alichezewa faulo.Asante sana hapa sasa nimepata picha
Naamini aliuawa kwasababu alijua ukweli
tuombe Uhai na uzima.Hata mi sitaki kuikosa
Huyo jamaa mshamba sana, yani katika makosa aliyofanya hilo ni kosa kubwa sanaBora wangem-kill tu!
sana mkuu.Haya makampuni makubwa yana siri nyingi, wameiba sana idea za watu
Na hicho ndo kilichomsaidiaJamaa alikuwa mjanja sana alipandikiza watu wa usalama kila sehemu
Usiwaze bana mwenyewe hiyo mida hata sikuwepoAm sorry
Tumekalia rushwa tuTumechelewa sana Papaa na mbaya zaidi baada ya miaka 50 ya uhuru bado tunatambaa kimaendeleo
Idea za MakapukuHaya makampuni makubwa yana siri nyingi, wameiba sana idea za watu

Dunia ina watu wabaya sana hiiAlichezewa faulo.