Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia:
1961 - Alan Pardew anazaliwa.
Ni mchezaji na kocha kutoka England.
Leo katika Historia:
1961 - Alan Pardew anazaliwa.
Ni mchezaji na kocha kutoka England.
Happy Birthday Tata MandelaLeo katika Historia:
1918 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Nelson Mandela.
Rais wa kwanza wa Afrika ya Kusini.
Leo katika Historia:
1967 - Vin Diesel anazaliwa.
Ni msanii wa Movie toka nchini Marekani.
Leo katika Historia:
1918 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Nelson Mandela.
Rais wa kwanza wa Afrika ya Kusini.
Shukrani mkuuTukutane tena kesho kwa udhamini wa nguvu wa Jimena.
Bye!!
Mungu anabarki, mishe na misele kama kawa, tuna dream ya kuwa MATRILIONEA.Morning papaa, habari ya wewe
Bonjour mon ami.Bonjour mensiur
Ipo siku...Mungu anabarki, mishe na misele kama kawa, tuna dream ya kuwa MATRILIONEA.
Ahsante sana mzee wa picha.
OuiMungu anabarki, mishe na misele kama kawa, tuna dream ya kuwa MATRILIONEA.

Asante sana kikofia nimemaliza kusoma sehemu zote 5 nasubiri ya leo sasaIla mm ntajikita zaid kwa wale walioajiriwa
AmeenMungu anabarki, mishe na misele kama kawa, tuna dream ya kuwa MATRILIONEA.

Kinahusu nini kwa waliokisoma???Leo katika Historia:
1925 - Adolph Hitler anazindua rasmi kitabu chake maarufu cha Mein Kampf " My struggle"
Yes, wao waweze wana nini? ..mimi nishindwe nina nini???Ipo siku...
Nawazaga hela, nataka niwe nazo mpaka niwe nawaza/fikiri mengine kama kuwapa misaada watu na sio kuwaibia au kugombania nao tena!!!Ameen![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()