Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
KaribuJimena asante
KaribuJimena asante
Ameen.....Ahsante kwa magazeti, ubarikiwe.
Merci bocoupKaribu
Leo katika Historia:
1925 - Adolph Hitler anazindua rasmi kitabu chake maarufu cha Mein Kampf " My struggle"
Hilter jamani....Leo katika Historia:
1925 - Adolph Hitler anazindua rasmi kitabu chake maarufu cha Mein Kampf " My struggle"
alikuwa katili sanaDiesel anajua sanaaaaLeo katika Historia:
1967 - Vin Diesel anazaliwa.
Ni msanii wa Movie toka nchini Marekani.
Morning makaveli10Good morning kapukuz
Pacha wangu
Leo katika Historia:
1968 - Kampuni ya Intel inayojishughulisha na vifaa vya kompyuta yazinduliwa rasmi huko California nchini Marekani.
Aliua sana Wayahudi.Hilter jamani....![]()
![]()
![]()
alikuwa katili sana
Vip hali yako mpendwa!!Morning makaveli10
Ahsante sana!Asante sana Mussolin5 kwa historia na uwe na siku njema na wiki njema yenye afya tele na mafanikio
Yani mmmh utadhani alikuwa ana kichaaAliua sana Wayahudi.