Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Asante mkuu, hii hatari sanaMkuu na hii ndiyo maana biashara ya supu za kuku pamoja na kongoro zinalipa sana Chuga...Ndugu yangu....Pole sana..
Asante mkuu, hii hatari sanaMkuu na hii ndiyo maana biashara ya supu za kuku pamoja na kongoro zinalipa sana Chuga...Ndugu yangu....Pole sana..
Bonjour mensiurGoodmorning fellaz![]()
Sie wazima sana my wiiMorning wii
Kwema kaka habari ya wewe?
Salama kabisaNi njema dada, habari yako
Ni kweli kabisa, mi pia ni buheri wa afyaTupo vizuri sana dada angu..Bila shaka na wewe uko na uzima tele dada angu..
MorningGoodmorning fellaz![]()
Jimena asanteMorning
Ahsante kwa magazeti, ubarikiwe.View attachment 367210View attachment 367211
Kufikia hapa basi sina la ziada, shukrani zimwendee mdhamini wa magazeti asubuhi hii ya leo Mussolin5 na 70K nawatakia wiki njema yenye mafanikio
Ciao