Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndio hivyo, lakini Kuna watu ukiwaambia hivyo,wanakuona kama vile hupendi mafanikio, lakini ndio ukweli wenyewe
Nakuelewa sana huwa naona kule jukwaa la politics jinsi watu wanatokwa povu wakiskia hivo unaonekana kama si mzalendo japo mi sijawah ona nchi iliyoendelea secta ya viwanda bila kuwa na umeme wa kutosheleza na reliable
 
Wengine hatunaga cha saturday mkuu
Nasubiri bahati na sibu ya vocha, nko gado kupambania ushindi
ea07188ddecbf1f9886ca684abd7c343.jpg
nmepozi hapa jirani, nikisubiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom