G55-MGODI
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,353
- 1,825
Poa poa mkuuPoa jichanganye.....Tuonane asubuhi
USIKU MWEMA
.... .....................
Poa poa mkuuPoa jichanganye.....Tuonane asubuhi
USIKU MWEMA
.... .....................
Sawa ila kesho umalizie mapemaZmebaki episode 2 tu ili hadithi iishe ndo mana nkaonelea leo nilete episode 4 tu.
Karibu sanaAksante Mkuu,nashukuru nimefika nyumbani
Swadaktaaakaribu sana mkuu
Cc: Th name
Cc: Jimena
Uko sawa kabisaNi vizuri kukosoa lakini inahitajika hekima ya hali ya juu sana.
Kukosoa bila kutoa suluhu ni kupiga majungu.
Sana, ametumia basi bovu kuwakilisha a corrupted Ghana country.Nimeipitia miaka mingi ya nyuma.
Mwandishi kamponda sana marehemu Nkhuruma.
Clinton kashaanza kufanyiwa figisuHii ndio sababu naamini kuwa Trump atakaa USA maana sidhani kama inawezekana na wao wakamuweka Clinton
Yule asingeweza kumshinda Trump, yani hata bila figisu figisu yule hana jeuri ya kusimama na TrumpClinton kashaanza kufanyiwa figisu
Ila ingependeza kama wangempa clinton tuone akama atawezaYule asingeweza kumshinda Trump, yani hata bila figisu figisu yule hana jeuri ya kusimama na Trump
Lugha ya picha imetumika vizuri sana....ubunifu wa hali ya juuSana, ametumia basi bovu kuwakilisha a corrupted Ghana country.
acha tu afanyiwe,simpendi huyu mtu tena bila sababuClinton kashaanza kufanyiwa figisu
kweli kabisa mkuuYule asingeweza kumshinda Trump, yani hata bila figisu figisu yule hana jeuri ya kusimama na Trump
aksante mkuuKaribu sana
huu uhondo itabidi niufatilie piaSawa ila kesho umalizie mapema
karibuPoa poa mkuu
sure hawa watu walikuwa creative sana na kuwa kosoa inahitaji data za kutoshaNi vizuri kukosoa lakini inahitajika hekima ya hali ya juu sana.
Kukosoa bila kutoa suluhu ni kupiga majungu.
aksante sanaKaribu jahlex
Wanawake wanapenda harusi na wanachukia ndoa na wanaume wanapenda ndoa na wanachukia harusi, harusi ni sherehe ya siku moja na ndoa ni agano takatifu ambalo hudumu milele.
Wengi walipenda harusi ila walipoingia kwenye ndoa hawakuwa na furaha sababu walipenda zaidi kuvaa gauni/suti za harusi kuliko kuwa tayari kuyavaa majukumu ya ndoa na uwajibikaji .
Ndoa nyingi za mbwembwe huwa na mwisho mchungu na hasa pale wahusika walioingia kwenye ndoa kwa hitaji moja la kuoa/kuolewa sababu ya msukumo wa wazazi au pesa za muda mfupi au kushika mimba na kuwa kiunganishi cha ndoa .
.
Wanawake/Wanaume wanapenda kuzaa ila wanachukia malezi na ndio maana unakuta msichana mwenye mtoto ana miaka 23 ila mtoto wake analelewa na mama yake na yeye anakula ujana sababu hawezi kulea mtoto wake mwenyewe ,wanaume wengi wanajua kuzalisha ila kutunza hawawezi na akifanikiwa kutunza jua hawezi kulea mtoto.
karibu sana
umeona eee! yupo vizurKaribu kapuku
Umeanza kwa nondo kali
Safi sana
...............
Asante sana kapuku mkuu....