Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
KaribuTusubiri tuone mkuu
KaribuTusubiri tuone mkuu
Una like 5702 na anayeshikilia no 20 ana likes 6448. Mwendo wako sio mbaya siku 2 utamtupa kuleeee
aiseee ngoja nkazane ili nifike climaxKuna watu hawatasahaurika ktk mioyo ya watu kwa muda mrefu kama jamaa,chinua achebe na ngugi wa thing'o walizisema sana serikali zaoNimeipitia miaka mingi ya nyuma.
Mwandishi kamponda sana marehemu Nkhuruma.
Aksante mkuuKaribu
Sapoti yetu ipo wewe rusha posts mkuuaiseee ngoja nkazane ili nifike climax
Haya Kiranja Mkuu Wa MakapukuNiite tu KAPUKU
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Basi kama ndo hvyo lazima kesho nkisukishe hapaaaaaSapoti yetu ipo wewe rusha posts mkuu
Jifunze na kuweka sahihi (Haya Kiranja Mkuu Wa Makapuku
)
Sahihi Inawekwaje,nielekezeJifunze na kuweka sahihi ()
Kuna makapuku kauzu watakukaushia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..............
Mbona umeweka.....humu hakuna SUPERSTAR hivyo hashobokewi mtu wakikuona unabana nao wanakubaniaSahihi Inawekwaje,nielekeze
Haina PoaMbona umeweka.....humu hakuna SUPERSTAR hivyo hashobokewi mtu wakikuona unabana nao wanakubania
Kazi kwako
...................
Karibu jahlexHabari gani makapuku wenzangu?!
Kuanzia leo mimi ni member sugu na wa kudumu humu kwa makapuku wenzangu.
Mimi Jahlex naapa ya kwamba "nitamatumikia Makapuku kwa moyo wangu wote bila ubaguzi kwa mujibu wa sheria za Makapuku na kuheshimu uongozi uliopo...Eee! Mkuu niongoze.
Karibu kapukuWanawake wanapenda harusi na wanachukia ndoa na wanaume wanapenda ndoa na wanachukia harusi, harusi ni sherehe ya siku moja na ndoa ni agano takatifu ambalo hudumu milele.
Wengi walipenda harusi ila walipoingia kwenye ndoa hawakuwa na furaha sababu walipenda zaidi kuvaa gauni/suti za harusi kuliko kuwa tayari kuyavaa majukumu ya ndoa na uwajibikaji .
Ndoa nyingi za mbwembwe huwa na mwisho mchungu na hasa pale wahusika walioingia kwenye ndoa kwa hitaji moja la kuoa/kuolewa sababu ya msukumo wa wazazi au pesa za muda mfupi au kushika mimba na kuwa kiunganishi cha ndoa .
.
Wanawake/Wanaume wanapenda kuzaa ila wanachukia malezi na ndio maana unakuta msichana mwenye mtoto ana miaka 23 ila mtoto wake analelewa na mama yake na yeye anakula ujana sababu hawezi kulea mtoto wake mwenyewe ,wanaume wengi wanajua kuzalisha ila kutunza hawawezi na akifanikiwa kutunza jua hawezi kulea mtoto.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kulea mtoto na kutunza mtoto ,kutunza mtoto ni kazi rahisi sana sababu unamtumia mtoto pesa ya chakula ,mavazi pamoja na karo ya shule ila kumpa mtoto malezi ni ile hali ya kutengeneza chemistry nzuri na mtoto kwa uwepo wako na kumuandaa kisaikolojia kujua umuhimu wa baba kwa kuona na kusikia.
Ndoa nyingi zilizofungwa kwa harusi ndio zinazo ongoza kwa kuvunjika na moja ya sababu ya kuvunjika kwa ndoa hizo ni watu kupenda zaidi harusi kuliko kuithamini ndoa,mtu anafikilia zaidi honey moon badala ya kutafakari jinsi ya kuboresha ndoa na kuwa na kizazi chenye maisha bora na matamu . To be married by the person you love the most is the greatest blessing God can give.
Poa jichanganye.....Tuonane asubuhiAsante sana kapuku mkuu....
Kuna watu hawatasahaurika ktk mioyo ya watu kwa muda mrefu kama jamaa,chinua achebe na ngugi wa thing'o walizisema sana serikali zao