Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Hebu sema neno kwa kf family ci wajua ni ck muhim leo???
Vipi??![]()
![]()
![]()
![]()
Jimena???
Swaga zake zimesha expire huyo... Nakutaka wewe tu...Naheshimu mawazo yako, umlete sumbai nammiss ati
Live longer kf family..Hebu sema neno kwa kf family ci wajua ni ck muhim leo???
Unajua mimi najua huwezi kwenda popote, lazima umalizie uhai wako kwangu, yeye aje kama family tu jamnSwaga zake zimesha expire huyo... Nakutaka wewe tu...
Haya maneno mazuri,,,amenLive longer kf family..
Haya bae, nitamkaribishaUnajua mimi najua huwezi kwenda popote, lazima umalizie uhai wako kwangu, yeye aje kama family tu jamn
Senkyu, mtafute na linamo pia mwambie yakale hayanukiHaya bae, nitamkaribisha
Sikukumbuka wangu, ntatupia next timeWow.... Hongera sana
Mbona hukutupia kapicha sasa???
Ulifanya ipi kati ya zile mbili?Sikukumbuka wangu, ntatupia next time
Andunje amezaliwa leo? HBD kwakeHBD Joti Mdebwebo![]()
.................
Naona umeamua kujitoa kimasomaso city bwayJAMANI NINA OMBI LANGU KIDOGO..
najua mmeshanizoea kwa mbwembwe Gif,photo,utani na mikwara mingi..
Sasa nmeona kama hamtajali niwe nawaletea pia Hadithi hapa.. kwa siku angalau niwe ninaleta episode 5 mpaka pale hadithi itakapoisha na kuanza hadithi nyingine.
Dhumuni la kuamua au kufikiria kufanya hivi ni kutaka jukwaa letu lichangamke na kuongeza pia vionjo.
Je mtapenda nianze na hadithi za namna gani?
Makundi ya hadithi;
Za mapenzi
Za upelelezi
Vichekesho
Za kichawi
NB:mbwembwe, utani, Gif, mikwara and kutambariiiing zitakuwa zipo pale pale
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




Ni njema ndugu, karibuaje aje ndugu
Mh... bas sawaTukutane hapo....
Sikuhiyo ntataka kuonyesha jinsi gani mimi ni mjukuu wa Horus
Kwa wasiomfahamu Horus amefanana na Jesus kwa mambo mengi sana
Ni kweli kabisa, umeona mbali...Lete za upelelezi
Hizo hadithi za mapenzi usijefanya huu uzi ukahamia Jukwaa la wakubwa bureee
Fresh tu, niaje mdauHabari wadau
Kwei?? Umeshindaje mukuluAmen. Ahsante kwa somo LILILOSHIBA.